PICHA: YALIYOJIRI KATIKA MKUTANO WA BARAZA KUU LA CHADEMA
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendelea CHADEMA, Freeman Mbowe akifungua mkutano huo uliofanyika Mkoani Dodoma Mei 27,2017. Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk Vincent Mashinji akizungumza Meza kuu...
View ArticleUPDATES: RAIS MAGUFULI AMTEUA KAMANDA SIMON SIRRO KUWA IGP
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATATU MAY 29, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleMBAO WADAI MWAMUZI ALIWANYONGA
BAADA ya kupoteza mchezo wa fainali ya Kombe la FA mbele ya Simba kwa mabao 2-1, wachezaji wa Mbao FC wamemtupia lawama za waziwazi mwamuzi aliyechezesha mechi hiyo, Ahmed Kikumbo kutoka Tanga.Juzi...
View ArticleMASHINDANO YA COPA UMISSETA YAZINDULIWA JIJINI DAR
Mchezaji wa Shule ya Sekondary Chang’ombe, Hamad Hemed (kulia), akiwania mpira na mchezaji wa Shule ya Makongo, Muksin Mohamed, wakati wa michuano ya Copa/UMISSETA yaliodhaminiwa na Kampuni ya...
View ArticleUTATA WAIBUKA MAUAJI YA MWANAFUNZI WA CHUO
Utata umeibuka kuhusu kifo cha mwanafunzi wa Chuo cha Uvuvi Mbegani, Boniventure Kimali (25) baada ya ndugu kudai ameuawa kwa kupigwa risasi na polisi akituhumiwa kuwa jambazi.Kimali aliyekuwa...
View ArticleRipoti ya Jonas Mkude Kutoka hospitali ya Muhimbili
Nahodha wa Simba, Jonas Mkude anaendelea vizuri katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam ambako amefanyiwa vipimo na kupata matibabu kwa ujumla.Mkude alikuwa kati ya watu sita...
View ArticleIGP MPYA SIMON SIRRO AAPISHWA IKULU DAR ES SALAAM LEO
Kamshina wa Polisi nchini Simon Sirro akiandaliwa kwenda kula kiapo mbele ya Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Kamshina Jenerali wa Polisi nchini leo Mei 29, 2017...
View ArticleALIYEKUWA MKUU WA KITENGO CHA KUSAMBAZA DAWA ABDALLA SULEIMAN ALIYESTAAFU...
Mkuu wa Utawala na Uendeshaji wa Bohari Kuu ya dawa Zanzibar akitoa maeleza ya utendaji kazi wa aliekuwa mfanyakazi wake Abdalla Suleiman aliemaliza muda wa utumishi Serikalini katika sherehe...
View ArticleSERIKALI YAPIGA MARUFUKU FUTARI YA PAMOJA NA VYAKULA VYA KUPIKA MWEZI HUU WA...
Kaimu Waziri wa Afya Riziki Pembe Juma akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mripuko wa maradhi ya kipindupindu Zanzibar huko Makao Makuu ya Wizara ya afya Mnazimmoja Mjini Zanzibar.Mkurugenzi...
View ArticleYALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia Mhe. Job Ndugai akiingia Bungeni kwa ajili ya kuongoza kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017. Spika wa Bunge la Jamhuri ya...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMANNE MAY 30, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleGreen WastePro Ltd wang'arisha bustani ya Askari Monument
Bustani ambayo imehifadhi historia ya vita kuu ya kwanza ya dunia (1914-1918)ikiwa na Sanamu ya askari Mwafrika katika sare ya kijeshi ya King's African Rifles aliyeshika bunduki yenye kisu cha kando...
View ArticleKIFAA CHA DIJITALI KUWAWEZESHA WAKULIMA WADOGO TANZANIA KUPATA FEDHA,...
Wakulima wadogo nchini Tanzania hivi karibuni wataweza kupata taarifa mbalimbali za kijiditali kuhusu masuala ya pembejeo, ukiwemo ushauri utakaosaidia kutatua matatizo yanayowakabili kama vile...
View ArticleAFRICA REGIONAL MEETING OF LABOUR STATISTICIANS IN PREPARATION FOR THE 20TH...
BY K-VIS BLOG/KHALFAN SAIDREPRESENTATIVES from more than 35 African Countries converge in Tanzanian commercial capital Dar es Salaam in capacity-building workshop on labour statistics and Africa...
View ArticleBunge lapitisha Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Philip Mahiga (Mb) akiwasilisha hotuba ya bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2017/2018...
View ArticleSerikali yatolea ufafanuzi tangazo la ajira za walimu mitandaoni
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTANZIA: MZEE ALIYEBUNI NA KUCHORA NEMBO YA TAIFA AFARIKI DUNIA
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleCDA Wadaiwa Kuficha Viwanja 34,000
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, amedai kuwa waliokuwa wafanyakazi wa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) wameficha zaidi ya viwanja 34,000.Lukuvi ambaye amewahi...
View ArticleSPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA MCHUNGAJI ANTHONY LUSEKELO LEO MJINI DODOMA.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mchungaji Anthony Lusekelo (kulia) alipomtembelea leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma. Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai...
View Article