PICHA: YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA
 Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Najma Giga akiongoza kikao cha 37 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 30, 2017. Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe....
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATANO MAY 31, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleRC SHINYANGA AFUNGUA KIKAO CHA WADAU WA SEKTA YA AFYA,AZUNGUMZIA UGONJWA WA...
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainab Telack amewataka wadau wa afya mkoani Shinyanga kufanya kazi kwa uwazi ili kuepuka migongano inayoweza kujitokeza wanapotekeleza majukumu yao katika jamii.Telack...
View ArticleBreaking News: Mzee Philemon Ndesamburo(CHADEMA) afariki dunia
Mbunge wa zamani wa Moshi Mjini (Chadema) Philemon Ndesamburo amefariki dunia ghafla leo, wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Moshi. Katibu wa Chadema, Mkoa wa Kilimanjaro,...
View ArticleMFUKO WA PPF WAENDELEA KUKABIDHI VIFAA TIBA
 Naibu wa Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Utumishi na Utawala Bora, Seleman Jaffo akiongea na wafanyakazi na wananchi waliojitokeza katika halfa ya kupokea...
View ArticleWATUMISHI KATIKA HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA WATAKIWA KUTIMIZA WAJIBU WAO...
Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha Ernest Mpanda akiwa anazungumza katika kikao cha kuimarisha Utendaji katika Halmashari ya Jiji, aliyepo kulia kwake ni mkuu wa wilaya ya Arusha mjini Gabriel Daqqaro,...
View ArticleBALOZI SEIF ASHIRIKI MSIBA WA MAMA MZAZI WA NAIBU KATIBU MKUU MSTAAFU WA CCM...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimfariji Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Zanzibar Ndugu Vuai Ali Vuai aliyefiwa na Mama yake Mzazi Bibi Mwanaisha Hassan Vuai aliyezikwa...
View ArticleOLE NASHA AHIMIZA MATUMIZI YA MBEGU BORA KWA WAKULIMA
Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William Ole Nasha (kushoto) akitambulishwa wafanyakazi wa kampuni ya Monsanto Tanzania baada ya ofisi yao kufunguliwa hapa nchini eneo la Njiro mkoani Arusha,...
View ArticlePICHA: YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA
 Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akisoma dua ya kuliombea Bunge katika  kikao cha 38 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 31, 2017. Naibu...
View ArticleBODI YA KWANZA YA CHUO CHA TAALUMA YA UREKEBISHAJI TANZANIA YAZINDULIWA
 Kamishna Jenerali wa Magereza Dkt. Juma Malewa akitoa hotuba ya ufunguzi wa Bodi ya Chuo cha Mafunzo ya Taaluma ya Urekebishaji Tanzania katika Ukumbi wa Bwalo Kuu la Maafisa Magereza Ukonga, Dar es...
View ArticleMbowe: Nilimzuia Lucy Owenya asichangie bungeni
Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni, Freeman Mbowe amesema alipopata taarifa ya kifo cha Mbunge wa zamani wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo alijaribu kumzuia mtoto wa marehemu, Lucy Owenya...
View ArticleMAJALIWA ATEMBELEA MAONYESHO YA UJENZI WA NYUMBA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama picha za nyumba wakati alipotembelea Maonyesho ya Mpango wa ujenzi wa Nyumba za Gharama Nafuu kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma  Mei 30, 2017. Maonyesho hayo...
View ArticleMAGAZETI YA LEO ALHAMISI JUNE 01, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleHIFADHI YA TAIFA MIKUMI MKOANI MOROGORO NI MBUGA ZA WANYAMA AMBAYO HUJIVUNIA...
 Muongozaji wa hifadhi ya taifa milima ya Udzungwa mkoani Morogoro Yustone Bonike akimuonyesha muandishi wa habari wa gazeti la Nipashe Ashiton Baraigwa mbegu ya mimea ambayo inaweza kuliwa na nyani...
View ArticleESRF yatoa Mafunzo ya Uandaaji Mipango Mkakati kwa Watumishi wa Serikali za...
Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii (ESRF) imetoa mafunzo kwa watumishi wa Ofisi za Wakuu wa Mikoa, Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya na Maofisa Mipango wa Halmashauri za Wilaya wa Mikoa ya...
View ArticleWAZIRI SIMBACHAWENE AAGIZA WAHITIMU CHUO CHA SERIKALI ZA MITAA HOMBOLO WAPEWE...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Bw. George Simbachawene akisalimiana na Rais wa Serikali ya Wanachuo Chuo Kiongozi cha Mafunzo ya Serikali za Mitaa...
View ArticleOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAWAPIGA MSASA MAAFISA HABARI NA MAWASILIANO...
 Mwanasheria wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Oscar Mangula akiwasilisha mada inayohusu Sheria mpya ya Takwimu ya mwaka 2015 wakati wa mafunzo kwa Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini yaliyofanyika...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AZINDUA KITUO KUTUNZA TAARIFA NA MFUMO WA KUKUSANYIA MAPATO...
 ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli akihutubia baada ya wakati wa kutembelea Kituo cha Kutunzia Taarifa (Data centre) na na  kuzindua Mfumo wa Ukusanyaji Mapato wa Serikali...
View ArticleUPDATES: YALIYOJIRI KWENYE MSIBA WA MBUNGE MSTAAFU WA JIMBO LA MOSHI MJINI...
Nyumbani kwa Marehemu Mzee Philemoni Ndesamburo aliyefariki dunia jana katika Hosptali ya Rufaa ya KCMC mjini Moshi. Baadhi ya waombolezaji wakiwemo ndugu wakijiandaa kwenda kutizama mwili wa Mzee...
View ArticleRais Magufuli aagiza TCRA kuzifuta kampuni za simu zitakazoshindwa kujiunga...
Rais John Magufuli ameiagiza Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuyafuta makampuni ya simu yatakayoshindwa kujiunga na Soko la hisa la Dar es Salaam.Rais Magufuli amesema hayo leo Juni Mosi, wakati...
View Article