Rais Kagame atangaza kung’atuka
Rais wa Rwanda, Paul KagameKuelekea uchaguzi mkuu nchini Rwanda unaotarajiwa kufanyika Agosti 3 mwaka huu, Rais wa Rwanda Paul Kagame ameeleza kinaga ubaga kuwa ukomo wake wa kutawala ni mwaka...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAMOSI MAY 27, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleWafanyakazi wa Mochwari Watiwa Mbaroni kwa Kuiba Kete 32 za Dawa za Kulevya
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro amefunguka kuwa wahudumu wa mochwari ya Mwananyamala wameiba jumla ya kete 32 za dawa za kulevya zilizokuwa kwenye mwili wa Raia wa Ghana...
View ArticleWahujumu uchumi walitaka kumhonga Rais Magufuli Bilioni 300
Ikiwa imepita siku mbili tangu Rais John Magufuli kueleza kuwa kwa sasa nchi iko katika vita ya uchumi na kwamba ana majina ya watu waliotaka kuingilia na kuharibu uchunguzi wa Kamati Maalumu...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu Tixon Tuyangine Nzunda kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri...
View ArticleCHAMA CHA WALIMU NA ASASI ZA KIRAIA ZA ELIMU SINGIDA WAUNGANA KUHAMASISHA...
Mkufunzi wa Mafunzo, Wakili Dominic Ndunguru akielezea kuhusu ripoti ya utafiti ya shirikisho la dini (Interfaith standing committee) iliyozinduliwa Mwezi Mei mwaka 2017 kwa kuwashirikisha kamati ya...
View ArticleJUMUIYA YA MADOLA YA WAPIGA MSASA WABUNGE KUTOKA NCHI 16.
Wajumbe wa Bunge la Umoja wa Bunge la Jumuiya ya Madola wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuaza kwa Mafunzo ya wiki moja yalioandaliwa na Bunge hilo, katika mafunzo hayo Bunge la Jamuhuri ya...
View Article102.5 LAKE FM MWANZA WATINGA KWA WANANZENGO KUPITIA GULIO LA MTAA
Mkurugenzi Mkuu wa Lake Fm Mwanza, Doreen Noni, akiwasilisha shukurani na salamu zake kwa niaba ya wafanyakazi wake kwenye burudani ya Gulio la Mtaa katika mnada wa Nyakato National Jijini...
View ArticleJTFE YAMWAGA VYANDARUA KITUO CHA WATOTO ALBINO SHINYANGA
Katika kukabiliana na ugonjwa wa Malaria, Taasisi ya Kimataifa ya Josephat Torner Foundation Europe (JTFE) inayojishughulisha na masuala ya watu wenye Ualbino yenye makao makuu yake nchini Uholanzi...
View ArticleWAZIRI MWIJAGE MGENI RASMI UFUNGUZI WA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA...
Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage kuwa mgeni kwenye maonyesho ya kimataifa yatakayoanza...
View ArticleHalmashauri inahitaji tani 12, 526 za chakula
Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga inahitaji tani 12,526 za chakula kunusuru maisha ya watu 111,340 wanaokabiliwa na upungufu wa chakula katika wilaya hiyo.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na...
View ArticleNAIBU WAZIRI NGONYANI AKAGUA UJENZI DARAJA LA KELEMA
Mhandisi Mshauri wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Mayamaya-Mela Km 99.35 Eng. Leornado Licari akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani, kuhusu hatua za...
View ArticleChenge afunguka mchanga kupelekwa nje
Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), kati ya mwaka 1993 hadi 2005, Andrew Chenge, jana alifunguka kuhusu sakata la usafirishaji wa mchanga wa dhahabu kwenda nje ya nchi.Hata hivyo, akizungumza...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAPILI MAY 28, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleIkulu yaijibu Acacia kuhusu mchanga wa madini
Uamuzi wa Serikali kuhusu suala la usafirishaji wa mchanga wa madini, utategemea ripoti ya kamati ya pili iliyoundwa na Rais John Magufuli kuchunguza suala hilo.Hayo yamebainishwa jana na Mkurugenzi wa...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MKEWE MAMA JANETH WATEMBELEA KUWAJULIA HALI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali Mzee Francis Maige Kanyasu(Ngosha) aliyelazwa Wodi ya Mwaisela katika...
View ArticleWANANCHI WA KITETO WAENDELEA KUJIUNGA NA MFUKO WA PPF
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dkt. Joel Bendera (wa pili kulia) akikabidhiwa vifaa tiba na Meneja Uhusiano wa Mfuko wa PPF, Bi. Lulu Mengele (wa pili kushoto) kwa ajili ya hospitali ya wilaya ya Kiteto...
View ArticleACACIA WAJIPANGA KUUFUNGA MGODI WA BULYANHULU WANAOUITA "LOSS MAKING MINE":
Kwa mujibu wa gazeti la The Telegraph la Uingereza, kampuni ya Acacia inajiandaa kuufunga mgodi wake wa Bulyanhulu, kampuni hiyo imedai mgodi huo umekuwa ukizalisha hasara licha ya ripoti iliyoundwa na...
View ArticleWATU WATATU WAFARIKI RUFIJI BAADA YA MTUMBWI WAO KUZAMA
Watu watatu wamefariki dunia kwa kuzama majini na mmoja kunusurika kifo baada ya mtumbwi waliokuwa wakivukia kuzama bwawani wilayani Rufiji mkoani Pwani.Akithibitisha kutokea kwa vifo hivyo, Ofisa...
View ArticleAJALI YATOKEA DUMILA MMOJA AFARIKI, JONAS MKUDE ANUSURIKA
NAHODHA wa Mabingwa wa kombe la Shirikisho na Kiungo wa timu hiyo, Jonas Mkude ni miongoni mwa watu waliojeruhiwa katika ajali ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka Dodoma kwenda Dar es Salaam....
View Article