UPDATES: ZARITHEBOSSLADY ATHIBITISHA KIFO CHA IVAN SEMWANGA
Zarinah Hassan ‘ZariTheBossLady’ amethibitisha taarifa za kifo cha aliyekuwa mpenzi na baba wa watoto wake watatu, Ivan Semwanga.Zari ametoa taarifa hzo kupitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa...
View ArticleHatua za kufuata baada ya kuachwa na ndege
Ni jambo la kawaida kuachwa na usafiri kama vile basi, boti, treni au ndege licha ya kufanya maandalizi ya kutosha. Baadhi ya sababu zinazoweza kuchangia mtu mpaka kuachwa na usafiri ni kama vile...
View ArticleESRF YAENDESHA MAFUNZO KWA WASIMAMIZI WA REDIO JAMII
Vyombo vya habari nchini hususani redio za kijamii zimetakiwa kuandika habari ambazo zinaelezea changamoto ambazo zinawakabili wananchi katika maisha yao ya kila siku na jinsi ambavyo wanaweza...
View ArticleDC SHINYANGA AFUNGA MAFUNZO YA MAAFISA WATENDAJI ,AWATAKA KUKATAA MIRADI...
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga, Josephine Matiro amewataka maafisa watendaji wa mitaa,vitongoji,vijiji na kata kuwa chachu ya maendeleo kwa kushirikiana kikamilifu na madiwani wao ili kuwaletea maendeleo...
View ArticleBALOZI SEIF AREJEA ZANZIBAR AKITOKEA JORDAN
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na baadhi ya Mawaziri na Watendaji Wakuu wa Serikali mara alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume...
View ArticleSPIKA WA BUNGE MH. JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA KENYA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai akisalimiana na Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta wakati wa ibada Maalum ya kuliombea Taifa la Kenya iliyoandaliwa na Bunge la nchi...
View ArticleYALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA
Mwenyekiti wa Bunge Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Najma Giga akiongoza kikao cha thelasini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 25, 2017. Waziri...
View ArticleTazama hapa Majina ya Wanafunzi Kidato cha Sita Waliochaguliwa Kujiunga JKT 2017
TAARIFA KWA UMMAJeshi la Kujenga Taifa (JKT), limechagua vijana waliohitimu Elimu ya Sekondari Kidato cha Sita kwa mwaka 2017, kutoka Shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa...
View ArticleKesi ya Scorpion yaahirishwa kwa mara nne mfululizo
Kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha na kujeruhi inayomkabili Salum Njetwe maarufu ‘Scorpion’ imeshindwa kuendelea kusikilizwa kwa mara ya nne mfululizo baada ya wakili wa utetezi kushindwa kufika...
View ArticleMKUU WA MKOA AZUIWA KUINGIA KWENYE MGODI WA BULYANHULU
Jeshi la Polisi limeuzingira mgodi wa Bulyanhulu baada ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Tellaack kuzuiwa kuingia katika mgodi huo alikokwenda kukagua iwapo uzalishaji unaendelea bila kuwepo kwa...
View ArticleMAGAZETI YA LEO IJUMAA MAY 26, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleSERIKALI YAWAPA AHUENI WANANCHI KUMILIKI ARDHI
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, amesema Serikali inatarajia kuandaa sheria itakayowabana madalali katika sekta ya ardhi.Amesema lengo la sheria hiyo ni kuwabana...
View ArticleAMUUA MKE WAKE KWA KUMPIGA RISASI, NAYE AJIUA
Mkazi wa Mahina, jijini Mwanza, aliyefahamika kwa jina moja la Max, anadaiwa kumuua mke wake, Teddy Malulu kwa kumpiga risasi usiku wa kuamkia leo.Baada ya kufanya mauaji hayo, Max naye anadaiwa kujiua...
View ArticleSERIKALI ZA TANZANIA NA UGANDA ZATILIANA SAINI MKATABA WA UJENZI WA BOMBA LA...
Waziri wa Katiba na Sheria wa Tanzania, Profesa Paramagamba Kabudi (kulia) na Waziri wa Nishati wa Uganda, Bi. Irene Muloni (kushoto) wakitia saini Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi...
View ArticleWIZARA YA VIWANDA YAANZISHA DAWATI LA BIASHARA.
Na Daudi Manongi, MAELEZO,DODOMA.Serikali kupitia Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji imeanzisha dawati la wepesi wa kufanya biashara ambao lina jukumu la kuondoa ugumu wa kuanzisha na kuendesha...
View ArticleYALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA
Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhe. Charels Mwijage akiongozana na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Prof. Jumanne Maghembe katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma kuhudhulia kipindi cha...
View ArticleMFUKO WA LSF WATOA SEMINA KWA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fedha za Msaada wa Kisheria (LSF), Kees Groenendijk (kulia) akiwasilisha mada kwa baadhi ya wahariri na wanahabari waandamizi katika semina kwa wanahabari iliyoandaliwa na...
View ArticleMATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Viongozi wa Chama cha Wafanyabiashara wa Pikipiki na Vipuri vyake pamoja na baadhi ya wabunge, ofisini kwake, Bungeni mjini Dodoma Mei 26, 2017. Kulia...
View ArticleMzee Yusuph :Walio na nyimbo zangu kwenye simu zao wafute
Aliyekuwa mfalme wa muziki wa taarab nchini, Mzee Yusuph amefunguka na kueleza kuwa watu wote walio na nyimbo zake kwenye simu zao wafute na kuacha kusikiliza ili kuepuka dhambi.Katika mahojihano na...
View ArticleSafari ya Himid Mao kutimkia Ulaya imekwiva
Mchezaji wa Azam FC, Himid MaoKiungo wa Klabu ya Azam FC, Himid Mao ambaye mwanzoni mwa mwezi huu alienda nchini Denmark kufanya majaribio na Klabu ya Randers FC, ndoto ya kiungo huyo ya kucheza soka...
View Article