MAGAZETI YA LEO JUMANNE MAY 02, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AMALIZA ZIARA YAKE YA KIKAZI MKOANI KILIMANJARO NA KUREJEA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Meck Sadik katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro KIA mara baada ya kumaliza...
View ArticleRais Magufuli Atangaza Kiama Kwa Waliodanganya UMRI wao
RAIS John Magufuli amesema serikali inawachunguza watumishi wa umma waliogushi umri ili wasibaki kwenye utumishi wa umma kwa muda ambao hawakustahili kuwa kazini.Kadhalika, amesema kuna watumishi wenye...
View ArticleMAAMUZI YA KAMATI YA MAADILI BAADA YA PAUL MAKONDA KUKUTWA NA KOSA LA...
Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge la Tanzania, leo imewasilisha bungeni taarifa za matukio mbalimbali ambazo imezifanyika kazi ikiwa ni pamoja na kuwaita na kuwahoji wahusika kwa kukiuka...
View ArticleWANANCHI WA HALMASHAURI YA MJI WA BABATI WAUZIWA SUKARI SHILLINGI 3000 KWA KILO
Wakati kukiwepo na mfumko wa bei ya chakula cha nafaka ya mahindi iliyofikia gharama ya gunia lenye ujazo wa kilo 100 la mahindi kuuzwa kwa shilingi 150,000/= katika soko la Halmashauri ya mji wa...
View ArticleMBUNGE WA KWIMBA APEWA SIKU SABA KULIPA DENI LA ARDHI ANALODAIWA TANGU 2010
Waziri wa ardhi,nyumba na Maendeleo ya makazi Mh. William Lukuvi amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya jiji la Mwanza,Kiomoni kibamba pamoja na watumishi wa idara ya ardhi na mipango miji,kuacha...
View ArticleMaadhimisho Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Yaanza Mwanza
Mtaalamu wa Mawasiliano nchini, Innocent Mungy akiwasilisha mada kwenye kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari 2017 linalofanyika jijini Mwanza. Kongamano hilo lililoanza leo...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AREJEA DAR ES SALAAM LEO BAADA YA KUHITIMISHA ZIARA YA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiswasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 2, 2017 akitokea mkoani Kilimanjaro...
View ArticleNEC YATANGAZA NAFASI WAZI YA KITI CHA MBUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA MHE. DR....
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza kuwepo kwa nafasi wazi ya Mbunge wa Viti Maalum kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo – CHADEMA, kufuatia kifo cha Mbunge wa Viti Maalum wa chama...
View ArticleYALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUMI NA TANO MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017. Naibu Waziri wa Fedha na Mipango...
View ArticleBALOZI SEIF AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA MCT
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Uongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) uliofika Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar kubadilishana nao mawazo. Kulia ya Balozi...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATANO MAY 03, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleTicha Kidevu kutoa zawadi kwa mkali wa mapindi
Shule Director, Je! wewe ni mwanafunzi unayejiamini, mkali wa kupigisha mapindi wenzio. Ticha kidevu anataka kukupa zawadi amazing, Tembelea tovuti ya www.shuledirect.co.tz kusoma vigezo na masharti ya...
View ArticleBAJETI YA WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO YAPITISHWA
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (katikati), akimsikiliza Katibu Mkuu (Sekta ya Ujenzi), Eng. Joseph Nyamhanga (Kulia), mara baada ya kumaliza kuwasilisha Bajeti ya...
View ArticleWAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI TPC
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea kiwanda cha sukari cha TPC kilichopo Arusha Chini, wilayani Moshi, mkoani Kilimanjaro na kukagua baadhi ya miundombinu ya kiwanda pamoja na mashamba. Akiwa...
View ArticleBALOZI SEIF ALI IDDI AONGOZA WADAU HABARI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na wadau wa Habari kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari Duniani hapo katika Chuo cha Habari Kilimani Mjini Zanzibar....
View ArticleYALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUMI NA SITA MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI...
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Andrew Chenge akiongoza kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017. Waziri wa Nchi Ofisi ya...
View Article“HALI YA DAWA NCHINI IMEIMARIKA”-MHE.KIGWANGALLA
Naibu Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Khamis Kigwangalla akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo...
View ArticleMeya wa jiji amtembelea Mjane wa Bob Makani nyumbani leo
Meya wa jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita akimfariji Mjane wa aliyekuwa mhasisi na Katibu Mkuu wa kwanza wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bob Makani (Mama Makani)Mjane wa aliyekuwa...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA , ATEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI (TPC)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipata maelezo Kutoka kwa, Afisa Utawala wa TPC aliyeshika kofia Bwana Jafari Ally kuhusiana na Shughuli zinazo endelea katika kiwanda cha Kutengeneza Sukari cha...
View Article