Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt,Ashatu Kijaji akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Hamadi Masauni akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika katika kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.
Naibu Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii ,Jinsia ,Wazee na Watoto Mhe.Dkt Khamis Kigwangala akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika katika kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.
Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mhe.William Ole Nasha akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika katika kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais –TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika katika kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.
Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Prof.Sospeter Muhongo akitolea ufafanuzi hatua zilizochukuliwa na Serikali juu ya Tetemeko la ardhi lilitokea Mkoani Kagera ivi Karibuni katika kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe. Salma Kikwete na Mbunge wa Mtwara Vijijini (CCM) Mhe. Hawa Ghasia wakijadili jambo katika kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.
Waziri wa Sera,Bunge,Kazi ,Vijana ,Ajira na wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais –TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo katika kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum(CHADEMA) Mhe.Upendo Peneza akiuliza swali katika kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.
Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na maendeleo ya Makazi Mhe.Angelina Mabula akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.
Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CCM) Mhe.Peter Serukamba akizungumza jambo na Mbunge wa Nzega Mjini Mhe.Hussein Bashe katika kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.
Makamu Mwenyekiti wa kamati ya Haki,Maadili na madaraka ya Bunge Mhe.Almas Maige akisoma hoja za kamati hiyo kuhusu Shauri la kudharau Mamlaka ya Spika linalowahusu Mhe.Freeman Mbowe,Mhe Halima Mdee na Mhe.Ester Bulaya na Shauri la kuingilia Uhuru na Haki za Bunge linalowahusu Bw.Paul Makonda na Pastory Mnyeti katika kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.
Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO,DODOMA