Mzamiru Yassin alamba Tuzo
Vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC, leo wamemtangaza kiungo wao Mzamiru Yassin kuwa ndiye mshindi wa Tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Machi mwaka 2017, ikiwa ni mara yake ya pili kutwaa tuzo hiyo...
View ArticleSipendi maisha ya Ustaa - Madam Flora
Madam Flora (zamani Flora Mbasha) amesema hayo hivi karibuni ikiwa ni siku chache kuelekea ndoa yake ambapo amefunguka na kudai kuwa baada ya kumpata mwanaume ambaye siyo maarufu anafurahi kwani hata...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAPILI APRIL 30, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleNJIA 16 ZA KUONDOA SUMU MBALIMBALI MWILINI
Mwili unaweza kupatwa na sumu au takataka zisizohitajika na mwili kwa namna mbili, ama kupitia mazingira tunayoishi (viwanda, migodi nk) au kupitia vyakula na vinywaji ambavyo tunatumia kila siku. Sumu...
View ArticleORODHA YA MAJINA YA WATUMISHI WA UMMA WANAODAIWA KUWA NA VYETI VYA KUGHUSHI...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AHUDHURIA IBADA YA JUMAPILI MAKANISA MAWILI TOFAUTI MJINI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitakiana amani na mmoja wa mapadre katika Kanisa la Kuu la Katoliki Parokia ya Kristo Mfalme Moshi Mjini alikohudhuria ibada ya...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATATU MAY 01, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleTaarifa Potofu Zinazomuhusisha Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza Dr Asha...
Ubalozi wa Tanzania London umepokea Habari inayozagaa kwenye ukurasa wa mtandao wa kijamii wa instagram ikiwa na nukuu ifuatayo:''Binafsi bado sijaona umuhimu na mafanikio ya Muungano wa Tanganyika na...
View ArticleMkazi wa Mwanza aibuka na mamilioni ya Biko
Msanii nyota wa filamu Tanzania, ambaye pia ni balozi wa Biko, Kajala Masanja, akionyesha namba ya ushindi wa Sh Milioni 10 aliyoshinda mkazi wa Mwanza, Pildas Emmanuel katika mchezo wa kubahatisha...
View ArticleTundu Lissu Akomalia Vyeti FEKI Vya Bashite
Wakili Tundu Lissu na wenzake wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS) wamelikomalia vilivyo sakata maarufu la Bashite linalohusiana na tuhuma za kughushi vyeti vya kielimu linalomkabili mmoja wa wakuu...
View ArticleMVUA ZABABISHA MAPOROMOKO YA ARDHI NA MADARAJA KUKATIKA KISIWANI PEMBA
MITI mbali mbali ikiwa imeanguka katika moja ya sehemu ya Barabara ya Chake-Mkoani, kufuatia mvua kubwa iliyonyesha Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA) Kwa hisani ya ZanziNewsMAGUNIA 518 ya...
View ArticleJAMII YATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA UPIMAJI WA ARDHI.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akimkabidhi mkazi wa Lamadi, Mama Juma hati miliki ya eneo lake.Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akizungumza...
View ArticleESRF yakutanisha wadau kuijadili bajeti ya 2016/2017 katika sekta za Elimu na...
Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii (ESRF) imewakutanisha wadau mbalimbali wa maendeleo nchini kuijadili bajeti ya Tanzania ya mwaka wa fedha 2016/2017 ambao unaelekea kuisha. Akizungumza katika...
View ArticleKalenda ya Kupanga Uzazi
Hii ni njia ambayo mwanamke anaweza kutumia kupanga uzazi bila kutumia dawa au kitu cha aina yoyote. Njia hii inategemea kuchagua kwa makini siku za kufanya mapenzi kutegemeana na ufahamu wa kipindi...
View ArticleMAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA HABARI NCHINI TANZANIA MWAKA 2017
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMkurugenzi Ilemela apewa onyo
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, amemtahadharisha Mkurugenzi wa Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela, John Wanga, kwamba endapo atashindwa kusimamia vema agizo...
View ArticleACT yaibana Serikali kuhusu vyeti
CHAMA cha ACT – Wazalendo kimeitaka Serikali kufanya uhakiki wa vyeti kwa viongozi wote wa siasa na isipofanya hivyo kitafikisha suala hilo mahakamani.Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam...
View ArticleSTAMICO YAANZA UZALISHAJI MAKAA YA MAWE KABULO-KIWIRA
Wataalam wa STAMICO wakiendelea na kazi ya uchimbaji makaa ya mawe katika Mlima wa Kabulo uliopo Kiwira wilayani Ileje mkoa wa Songwe. Shughuli za uchimbaji wa Makaa ya Mawe zinazofanywa na STAMICO,...
View ArticleSTAMICO WASHIRIKI MAADHIMISHO SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI, WAAHIDI KUCHAPA...
Makamu Mwenyekiti Chama cha Wafanyakazi wa Migodi, Nishati, Ujenzi na Huduma zingine, tawi la STAMICO (TAMICO) Bwana Dennis Silasi, (wa kwanza kushoto aliyeshilia bango) akiwa nje ya uwanja wa...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA SHEREHE ZA MEI MOSI ZILIZOFANYIKA KITAIFA MKOANI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitabasamu wakati Wafanyakazi wa Taasisi mbalimbali za Umma na Binafsi wakiwa katika maandamano ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ambayo...
View Article