UFINYU WA BAJETI NI KIKWAZO KWA HUDUMA ZA UZAZI WA MPANGO
 Ufinyu wa bajeti kwa ajili ya huduma za uzazi wa mpango imekuwa ndicho kikwazo kikuu katika kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi hapa nchini ambapo katika miaka sita iliyopita kiwango cha juu sana...
View ArticleTAASISI YA KILIMANJARO DIALOGUE YATAKA WANAHABARI KUTUMIA KALAMU ZAO...
 Mdhamini wa Taasisi ya Kilimanjaro Dialogue, Habib Miradji (katikati) akiongoza mjadala jijini Dar es Salaam leo, kuhusu umuhimu wa wanahabari kuandika habari za kudumisha amani nchini ikiwa ni sehemu...
View ArticleNAIBU SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA UGENI KUTOKA JHPIEGO
Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkazi wa JHPIEGO nchini Tanzania Ndg. Jeremie Zoungana, aliyekuja kuzungumza nae na kubadilishana uzoefu wa kazi,...
View ArticleKifungo cha maisha jela kwa kuchoma nyumba
MKAZI wa kijiji cha Kabita wilayani Busega mkoani Simiyu, Hezroni Mahila (28) amehukumiwa kutumikia kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kuchoma nyumba na kusababisha hasara ya Sh....
View ArticleAuawa na wananchi kwa tuhuma za ushirikina
Mkazi wa kijiji cha Ijenga, Mbalizi mkoani Mbeya Sikitu Mwawala (25) ameuawa kwa kupigwa na kundi la wananchi na kasha mwili wake kuchomwa moto kutokana na imani za kishirikina.Kamanda wa Polisi Mkoa...
View ArticleSERIKALI YATOLEA UFAFANUZI SUALA LA VYETI FEKI
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleSERIKALI YAWAPOKEA WATAALAM WATANO WA KUJITOLEA KUTOKA JAPANI WALIOKUJA KUTOA...
 Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Susan Mlawi akizungumza na Wataalam wa kujitolea kutoka Japani waliokuja kutoa huduma nchini wakati wa hafla...
View ArticleWAZIRI LUKUVI AMTUMBUA AFISA MIPANGO MIJI LINDI
 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akimsimamisha kazi Ndugu Castory Manase Nkuli Afisa Mipango Miji wa Lindi kuhusu tuhuma za kumilikisha ardhi kinyume cha sheria.Na....
View ArticleMAGAZETI YA LEO ALHAMISI MAY 04, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleMKAZI WA MWANZA AZOA MKWANJA WAKE KUTOKA BIKO
Mshindi wa Sh Milioni 10 wa Biko Tanzania kutoka jijini Mwanza Pildas Emmanuel kushoto akipeana mikono ya shukrani na Meneja Masoko wa Biko, Goodhope Heaven baada ya kumkabidhi fedha zake jijini Dar es...
View ArticleWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA PALESTINA DR.RIYAD MALIKI,AKARIBISHA KURA YA...
Ramallah, Mei 2, 2017 (Wafa) – Waziri wa Mambo ya Nje wa Palestina Dr. Riyad Maliki,Jumanne ya wiki hii amekaribisha matokeo ya kura ya Bodi ya Utendaji ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia...
View ArticleProfesa Lipumba: Akanusha Kutumiwa na CCM Kuivuruga CUF
Mwenyekiti wa CUF anayetambulika na msajili wa Vyama vya Siasa Prof. Ibrahim Lipumba leo May 4, 2017 kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds TV amesema hakuwa na namba ya Edward Lowassa...
View ArticleVanessa Mdee adai kuna msanii mkongwe anamchafua
Vanessa Mdee ameshindwa kuyavumilia yanayomtoka kinywani mmoja kati ya vigogo anaowaheshimu kwenye sanaa ya muziki nchini, hali iliyomsukuma kuanika ya moyoni. Vee Money ambaye anafanya vizuri na wimbo...
View ArticleYALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUMI NA SABA MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI...
 Mwenyekiti wa  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Andrew Chenge  akiongoza kikao cha kumi na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 4, 2017. Naibu Waziri  Wizara ya...
View ArticleSERIKALI HAINA MPANGO WA KUSITISHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU-MHE.MHAGAMA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi ,Vijana ,Ajira na wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha kumi na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11...
View ArticleMAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI MKOA WA SHINYANGA
Katika kuadhimisha siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari duniani,Klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga (Shinyanga Press Club- SPC),leo Mei 3,2017 imefanya mkutano na wadau wa habari mkoani...
View ArticleWAKANDARASI 3,000 NCHINI WAFUTIWA USAJILI KWA KUKIUKA SHERIA.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Mashauriano Wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi kwa Mwaka 2017 kwenye ukumbi wa...
View ArticleBalozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia atumia Sikukuu ya Muungano kutangaza...
Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, H.E Hemed Mgaza, kushoto akifurahia jambo katika Sikukuu ya Muungano wa Tanzania iliyoadhimishwa nchini humo kwa kukutanisha Watanzania wanaoishi Saudi Arabia,...
View ArticleMAGAZETI YA LEO IJUMAA MAY 05, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleDC KASESELA ATOA WIKI MBILI KUFANYIKA MIKUTANO YA HADHARA KATA MLANDEGE
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela akiwa na viongozi mbalimbali wa Manispaa ya Iringa kama Naibu Meya Joseph Lyata na mbunge wa viti Maalum mkoa wa Iringa kupitia chama cha mapinduzi CCM Ritta...
View Article