MAGAZETI YA LEO IJUMAA APRIL 28, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleTGGA YAZINDUA UPANDAJI MITI 600 KILA MKOA TANZANIA
Wanafunzi wa shule za Msingi na Sekondari Mtumba Manispaa ya Dodoma wakiwa na miche ya miti kila mmoja wao kabla ya kuipanda kwenye uzinduzi wa upandaji miti uliofanywa kitaifa na Girl Guides Tanzania...
View ArticleKONGAMANO LA WADAU WA WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI - OSHA...
Katika kuadhimisha wiki ya usalama na afya kazini mwaka 2017, Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) imefanya kongamano kwa kuwakutanisha kwa mara ya kwanza wadau wa OSHA nchini kwa lengo la...
View ArticleIVORY BAND YAPANIA KUPAA KATIKA ANGA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA
Ijumaa hii na kila Ijumaa ni siku ya raha na starehe kwa wakazi wa Tabata na vitongoji vyake, maana mara tu baada ya jua kuzama kiota maarufu cha NEXT DOOR kilichopo katika kitongoji hicho cha...
View ArticleWAKAZI WA OLASITI JIJINI ARUSHA WASUSIA MAJI WASEMA HAYANA LADHA ,HAYAFAI KWA...
Baadhi ya wananchi Wa Kara ya Olasiti kama wanavyoonekana pichani.Picha na Vero Ignatus blog.Na .Vero Ignatus,Arusha.WAKAZI wa Olasiti jijini Arusha wamesusia maji yanayotolewa na Idara ya maji na...
View ArticleUBA YATOA VYETI KWA WADAU WALIOPATA RUZUKU ZA MRADI
Mkurugenzi wa Bank ya UBA Tanzania, Peter Makau akizungumza na wanufaika wa maradi wa kuandika mawazo ya biashara ambao wapo hapa nchini juu ya namna watakvyoweza kushirikiana na Benki ya UBA katika...
View ArticleKATIBU WA BUNGE AONGOZA KIKAO CHA UONGOZI LEO MJINI DODOMA
Mwenyekiti wa TUGHE Tawi la Bunge, Ndg. Chacha Nyakega (aliesimama) akifafanua jambo wakati wa kikao cha uongozi kilichofanyika leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas...
View ArticleTAARIFA KWA UMMA MAONESHO YA 6 YA KIMATAIFA YA MADINI YA VITO ARUSHA, TAREHE...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleSKIMU 7 ZA UMWAGILIAJI WILAYANI MBARALI ZATOZWA FAINI KWAKUTO ZINGATIA SHERIA...
Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bwana Richard Muyungi akizungumza kwa niaba ya wajumbe wa Kikosi kazi cha kitaifa cha kutathmini Ikolojia ya Mto Ruaha Wilayani Mbarali Mkoani...
View ArticleUTUMISHI YACHAGUA MFANYAKAZI BORA WA MWAKA 2017
Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bi. Jane Kajiru akitoa maelekezo ya kumchagua mfanyakazi bora wa ofisi wa mwaka...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA ZOEZI LA UHAKIKI WA VYETI KWA WATUMISHI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Taarifa ya zoezi la uhakiki wa vyeti kwa Watumishi wa umma kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi...
View ArticleWAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA UONGOZI WA SHIVYAWATA - DODOMA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akisalimiana na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu Bi. Ummy Nderinanga wakati...
View ArticleRais Maguli Afuta Zaidi ya Ajira Elfu 9 Za Walioghushi Vyeti
Rais Dk. John Pombe Magufuli, ameiagiza Wizara ya Fedha kufuta mara moja ajira za watumishi wa umma 9,932 waliobainika kughushi vyeti, kwenye orodha ya malipo ya watumishi wa umma.Akiongea leo mara...
View ArticleTAARIFA ZA KUITWA KAZINI KWA MADAKTARI WALIOKUWA WAMEKIDHI VIGEZO KWENDA...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleWAKAZI DAR WATAHADHARISHWA JUU YA MVUA KUBWA NA UPEPO MKALI
Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) imetoa tahadhari kwa umma kuhusu vipindi vya mvua kubwa vinavyoambatana na upepo mkali na mawimbi makubwa katika mwambao wa ukanda wa pwani.Katika taarifa yake ya leo saa...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAMOSI APRIL 29, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleNjia 5 za kujichunguza kama una saratani ya matiti
Saratani ya matiti imekua ikiwatesa wanawake wengi kutokana na dalili zake kutoonekana mapema.Pia wanawake wengi hawana tabia ya kuchunguza afya zao mara kwa mara na kupeleke kugundulika kuawana...
View ArticleUchaguzi wawakilishi wa Chadema Bunge la Afrika Mashariki (EALA) Kufanyika...
Bunge limetangaza kuwa, uchaguzi mdogo wa kupata wawakilishi wawili wa nafasi ya ubunge kwa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), sasa utafanyika Mei 10,...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AONDOKA MKOANI DODOMA NA KUELEKEA MKOANI KILIMANJARO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mkuu wa mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana wakati akielekea kwenye ndege tayari kwa safari yake ya kuelekea mkoani...
View ArticleSERIKALI YAWATAKA WAAJIRI KUJISAJILI KWENYE MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI (WCF)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama akiongea na Mkurugenzi wa Huduma za Matibabu na Tathmini kutoka Mfuko wa Fidia kwa...
View Article