Jeshi la Polisi Lasema Linawashikilia Watu 3 Kwa Kuvamia Mkutano wa CUF na...
Saa tatu baada ya viongozi wa CUF kukutana na Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro, kuhoji sababu za kutokamatwa watu waliofanya vurugu kwenye mkutano wa waandishi wa...
View ArticleSerikali yamuondoa Mkurugenzi wa UNDP nchini
Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Programu ya Maendeleo (United Nations Development Programs – UNDP), Bi. Awa Dabo aliyeondolewa nchini.Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeliagiza...
View ArticleSPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA WABUNGE KUTOKA BUNGE LA ZAMBIA
Waheshimiwa Wabunge kutoka Bunge la Zambia ambao pia ni Wajumbe wa kamati ya Miundombinu kutoka Bunge hilo wakimsikiliza Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati)akizungumza katika kikao...
View ArticleTUWACHUKULIA HATUA WATAKAOTOZA FEDHA KUPIMA MALARIA NA KUUZA DAWA MSETO:...
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na watoto Mhe. Ummy Mwalimu akitoa tamko kuhusu Siku ya Malaria Duniani kwa waandishi wa Habari Mjini Dodoma na kusisitiza kuwa vipimo vya Malaria na...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATANO APRIL 26, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleRAIS DK. SHEIN AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO WIZARA ELIMU
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi wakati alipowasiki katika...
View ArticleZANZIBAR YAJIANDAA KUMALIZA KABISA MALARIA 2023
Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dkt, Fadhil Mohd Abdalla akimkaribisha Naibu Waziri wa Afya Harusi Said Suleiman kuzungumza na waandishi wa habari katika maadhimisho ya siku ya Malaria...
View ArticleTANGAZO KWA UMMA LA UUZWAJI VIWANJA KATIKA ENEO LA MKUNDI MOROGORO
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMtatiro: CUF haina walinzi wa chama wenye bastola
Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi, The Civic United Front (CUF) Julius Mtatiro amefunguka na kusema chama cha CUF hakina walinzi wa chama wenye bastola wala hakina walinzi wanaozunguka mitaani kufanya...
View ArticleKIKOSI KAZI CHA KUNUSURU MTO RUAHA CHATEMBELEA SKIMU YA MWENDAMTITU- MBALARI.
Mjumbe wa Kikosi kazi Injinia Seth Luswema (wa kwanza kushoto), akiwa meza kuu pamoja na Viongozi wa Chama kwa wilaya ya Mbalari, Kuanzia kushoto ni Mwenyekiti wa kamati ya Ujenzi, uchumi na...
View ArticleMilioni 10 za Biko ‘Nguvu ya Buku’ zamfikia Nicholaus Mlasu
Ofisa wa benki ya NMB Makao Makuu jijini Dar es Salaam kushoto, akimkabidhi moja ya karatasi muhimu baada ya kufanikiwa kumfungulia akaunti mshindi wa Biko, Ijue Nguvu ya Buku, Nicholaus Mlasu...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AONGOZA SHEREHE ZA MIAKA 53 YA MUUNGANO MJINI DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na mjane wa Rais wa kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume pamoja na mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere kwenye sherehe...
View ArticleMAGAZETI YA LEO ALHAMISI APRIL 27, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleMANISPAA YA ILALA JIJINI DAR ES SALAAM YAOMBWA KULINUSURU DARAJA ZISISOMBWE...
Wakazi wa Gongolamboto wakipita katika daraja ambalo kingo zake zimesombwa na mafuriko barabara ya kuelekea Machinjio ya Pugu Kajiungeni Dar es Salaam leo.Jitihada za makusudi zisipochukuliwa daraja...
View ArticleRC GAMBO AZINDUA BARABARA ARUSHA,AKAGUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO ,...
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gamboa akiwa ameshika mkasi ishara ya kukata utepe katika uzunduzi wa barabara ya St.James na Mahakamani leo Jijini Arusha,Kulia kwake ni mkuu wa wilaya ya Arusha mjini...
View ArticleKauli ya Waziri wa viwanda kuhusu Kenya Kupiga Marufuku Gesi ya Tanzania
Waziri wa Viwanda na Biashara Charles Mwijage amekiri kupokea taarifa za katazo lililotolewa na serikali ya Kenya juu ya uuzwaji wa gesi zinazotumika majumbani zinazotoka Tanzania na kusema wataalamu...
View ArticleTRA Yakamata Mali za Lugumi
Kampuni ya udalali ya Yono, imefanikiwa kukamata mali za wafanyabiashara wanaodaiwa kodi ya serikali inayofikia zaidi ya Sh bilioni 68.1. Operesheni ya kukamata mali hizo kwenye maeneo mbalimbali...
View ArticleRAIS DK.MAGUFULI KUPOKEA TAAARIFA YA ZOEZI LA UHAKIKI WA VYETI KWA WATUMISHI...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleRAIS MAGUFULI KUWA MGENI RASMI SIKU YA UHURU WA HABARI DUNIANI
Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika-Tanzania, Salome Kitomari akizungumza kwenye mkutano wa wanahabari kutambulisha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari 2017 uliofanyika leo...
View ArticleSEKTA BINAFSI YAJIPANGA KUKUTANA NA RAIS KWENYE MKUTANO WA BARAZA LA TAIFA LA...
WADAU wa Sekta binafsi nchini Jumanne wiki hii, wamefanya mkutano ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mkutano wao na serikali chini ya jukwaa la Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) unaotarajiwa kufanyika...
View Article