NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WATEULE
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Susan Kolimba amekutana na kufanya mazunguzo na Mabalozi Wateule wanaoenda kuiwakilisha Tanzania maeneo mbalimbali...
View ArticleWAKAZI WA TARAFA YA WANGINGO’MBE MKOANI NJOMBE HATARINI KUKUMBWA NA BAA LA NJAA
Wakazi wa tarafa ya Wangingo’mbe mkoani Njombe wako hataraini kukumbwa na baa la njaa kutokana na eneo la tarafa hiyo mvua kukatika kabla ya mazao yao kukomaa kutokana na uharibifu wa mazingira ikiwemo...
View ArticleWATU WATATU WANAOTUHUMIWA KUHUSIKA NA MAUAJI YA VIONGOZI WA VIJIJI NA ASKARI...
Jeshi la polisi mkoani Pwani limewaua kwa kuwapiga risasi watu watatu wanaodhaniwa kuwa wali husika na mauaji ya viongozi wa vijiji na vitongoji na askari polisi katika wilaya za Mkuranga,Kibiti na...
View ArticleMAHAFALI YA PILI YA KIDATO CHA SITA WAMA NAKAYAMA YAFANA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye mahafali ya pili ya kidato cha sita ya shule ya Sekondari ya WAMA NAKAYAMA ,ambapo aliwaasa wanafunzi hao 45...
View ArticleMKUU WA MKOA WA TANGA AKOLEZA VITA YA MADAWA YA KULEVYA
Balozi wa Norway hapa nchini, Hanne-Marie akiongea katika hafla ya fupi ya makabidhiano ya jengo la Afya ya Akili Hospitali ya Rufaa ya Bombo lililokarabatiwa na Kituo cha Tanga International...
View ArticleMAANDALIZI YA SHEREHE ZA MIAKA 53 YA MUUNGANO YAKAMILIKA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi, Ajira na watu wenye Ulemavu Mhe,Jenista Mhagama akizungumza na waandishi wa habari leo mjini Dodoma kuhusu Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 53 ya...
View ArticleMAKAMBA: CHANGAMOTO ZA MUUNGANO ZATATULIWA KWA KIASI KIKUBWA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe.Januari Makamba akizungumza na waandishi wa habari leo Mjini Dodoma kuhusu matukio mbalimbali yatakayokuwepo katika Maadhimisho ya...
View ArticleMSANII WA BONGO FLEVA 'NILLAN' AMPONDA SHILOLE KWA KUHARIBU SHOW SIKUKUU YA...
Na Mwandishi WetuMSANII wa Bongofleva anayetamba na kibao cha ‘Njenje’ Gilbert Paul maarufu kama ‘NILLAN’ (pichani kulia) ameponda kitendo kilichofanywa na msanii mkubwa katika tasnia hiyo Zuwena...
View ArticleTAMISEMI YABARIKI MICHUANO YA COPA UMISSETA 2017 – COCA-COLA KUENDELEA NA...
Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na SerikalizaMitaa (TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo akitoa hotuba ya ufunguzi kwa washiriki wa semina elekezi kwa Maafisa Elimu na Maafisa Michezo wa mikoa yote nchini,...
View ArticleKAMPUNI YA AGGREY&CLIFFORD YANG'ARA KIMATAIFA
*Yatambulishwa kwenye orodha ya makampuni bora ya matangazo duniani 2017 Taasisi ya kimataifa ya masuala yanayohusiana na makampuni ya matangazo duniani ya thenetworkone ya nchini Uingereza imetoa...
View ArticleNicholaus Mlasu azoa milioni 10 za Biko ‘Nguvu ya Buku’
Msanii wa nyota wa filamu Tanzania, Kajala Masanja kulia, akichezesha droo ya pili ya kuwania Sh Milioni 10 ya mchezo wa Bahati Nasibu ya Biko 'Nguvu ya Buku' iliyochezeshwa jijini Dar es Salaam ambapo...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATATU APRIL 24, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleMASHAMBA YA MPUNGA YA MBARALI NA KAPUNGA YAPEWA ONYO KALI NA KIKOSI KAZI CHA...
Mfereji wa kutolea maji kupeleka mto Ruaha Mkuu ulioko ndani ya Shamba la Mpunga la Kapunga ukiwa umejengewa tuta ili kutopitisha maji hayo kuelkea mto Ruaha kama inavyotakiwa. Magugu na nyasi...
View ArticleKauli ya Jerry Muro baada ya Haji Manara wa Simba kufungiwa na TFF
Muda mfupi baada ya shirikisho la soka Tanzania TFF kupitia kamati ya nidhamu ya TFF kutangaza kumfungia mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Simba Haji Manara kwa utovu wa nidhamu na kukutwa na...
View ArticleKARIAKOO FAMILY DEVELOPMENT FOUNDATION CHAPATA UONGOZI MPYA
Wanachama wa chama cha Kariakoo Family Development Foundation (KFDF) wamejipatia uongozi mpya baada ya kufanya mkutano mkuu wa uchaguzi siku ya Jumapili Aprili 23, 2017 katika ukumbi wa shule ya...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AWASILI MKOANI DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana mara baada ya kuwasili mkoani Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMANNE APRIL 25, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleMAJALIWA ATEMBELEA UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA KUKAGUA MAADALIZI YA...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizngumza baada ya kutembelea na kukagua maadalizi ya uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Aprili 24, 2017. Katikati ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi,...
View ArticleWABUNGE WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WATINGA UBALOZI WA...
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo siku ya Jumatatu April 24, 2017 wametembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na kukutana na Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe....
View ArticleUMOJA NI NGUVU NA UTENGANO NI UDHAIFU
Na Mwandishi wetu, Vijimambo BlogNimekuja tena leo nimaitumaini yangu kuwa wote hamjambo na kwa kudra zake mola mtakua mnaendelea vyema na mihangaiko ya kila siku.Na kama nilivyoandika wiki mbili...
View Article