Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi wakati alipowasiki katika viwanja vya Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja katika hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma alipowasiki katika viwanja vya Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja katika hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali vilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Viongozi,Walimu Wakuu pamoja na Wanafunzi wakati wa hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali vilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Viongozi,Walimu Wakuu pamoja na Wanafunzi wakati wa hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali vilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipokea Vifaa vya Michezo kutoka kwa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi ambavyo vitakabidhiwa kwa Uiongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali na kutumika katika mashindano mbali mbali ya wanafunzi wa Skuli za Sekondari,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipokea Kikombe cha mashindano ya Michezo ya Skuli za Sekondari kutoka kwa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja.
Baadhi ya Viongozi wa Serikali,Walimu wakuu wa Skuli mbali mbali za Sekondari pamoja na Wanafunzi wakiwa hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali vilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja
Baadhi ya Viongozi wa Serikali,Walimu wakuu wa Skuli mbali mbali za Sekondari pamoja na Wanafunzi wakiwa hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali vilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja.
Baadhi ya Wanafunzi wa Skuli za Sekondari za Serikali wakiwa hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali vilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja.
Baadhi ya Walimu Wakuu wa Skuli za Sekondari za Serikali na Walimu wa Michezo wakiwa hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali vilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja.
Baadhi ya Wanafunzi wa Skuli za Sekondari za Serikali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali vilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja.
PICHA NA IKULU