JE WATAKA KUJUA: MAMBO 27 USIYOYAJUA KUHUSU KOREA KASKAZINI..
Serikali ya Korea Kaskazini imeweka utaratibu maalum kwa wananchi na watalii wanaotembea nchi hiyo wanapotaka kupiga picha. 1. Unapotaka kupiga picha sanamu au picha ya "viongozi wapendwa" wa nchi hiyo...
View ArticlePPF YAWATAKA WAAJIRIWA WAPYA KUJIUNGA NA MFUKO WAO
Na Jimmy Mengele - Dodoma. Mfuko wa Pensheni wa PPF unaendelea kuwakumbusha wananchi kujiunga na PPF ili kuweza kufaidika na fursa mbalimbali kama vile mikopo ya maendeleo, elimu, huduma ya afya, mafao...
View ArticleBODYLINE HEALTH & FITNESS KUFANYA TAMASHA LA MICHEZO KESHO APRILI 22, 2017...
Mkurugenzi wa kituo cha mazoezi ya Bodyline Health &Fitness, Abbas Jaffer Ali (katikati) akiongea na waandishi wa habari wakati akitangaza tamasha la michezo linalotarajiwa kufanyika Aprili 22,...
View ArticleWATUMISHI SEKTA YA UJENZI WAPEWA SOMO
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Eng. Joseph Nyamhanga (Wa pili kulia), akizungumza na wafanyakazi wa Wizara hiyo pamoja na wawakilishi kutoka Taasisi zilizo...
View ArticleWAZIRI MKUU AUNGANA NA WABUNGE KUUAGA MWILI WA DKT. ELLY
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameungana na wabunge katika kuuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) Dkt. Elly Macha aliyefariki Machi, 31, 2017 katika hospitali ya New Cross Wolverhampton...
View ArticleWAZIRI MWAKYEMBE AKUTANA NA UONGOZI WA CHAMA CHA NGOMA NA MUZIKI ASILI TANZANIA.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt Harrison Mwakyembe akizungumza na uongozi wa Chama cha Ngoma na Muziki wa Asili Tanzania (CHANGAMATA) wakati alipokutana nao ofisini kwake Mjini...
View ArticleTANESCO YAKANUSHA TAARIFA ZA UZUSHI KUHUSU "TAIFA LANUSA GIZA"; LATOA...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleWANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA MAKUMBUSHO WAPIGWA MSASA KUHUSU ELIMU YA...
Wanafuzi wa Shule ya Sekondari ya Makumbusho jijini Dar es Salaam, wamepata mafunzo maalum ya kuwawezesha kumudu changamoto mbalimbali katika jinsia, yanayowajengea uwezo wa kujitambua vyema na...
View ArticleMCHUNGAJI KIZIMBANI KWA KUFOJI PASIPOTI
Idara Uhamiaji mkoa wa Arusha imewapandisha kizimbani watu watano,akiwamo mchungaji wa kanisa la Pentecostal kwa kosa la kufoji hati ya kusafiria.Akizungumza na wanahabari leo, Ijumaa, Ofisa uhamiaji...
View ArticleTEMBO WAVAMIA KIJIJI NA KUHARIBU MAZAO WILAYANI TUNDURU.
Tembo zaidi ya 20 wamevamia vijiji vya Wenje mpakani mwa Tanzania na Msumbiji wakitokea nchini Msumbiji ambapo tembo wawili wameuawa na wananchi na kuondolewa meno mawili na kugawana nyama yao huku...
View ArticlePROFESA LIPUMBA ATINGA MAHAKAMANI
Mgororo wa ruzuku ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) unazidi kupamba moto baada ya mwenyekiti wa chama hicho anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Profesa Ibrahim Lipumba kwenda...
View ArticleMAHAKAMA YATOA AMRI AGNESS MASOGANGE AKAMATWE
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa hati ya kumkamata msanii, Agnes Gerald maarufu kama Masogange kwa kushindwa kuhudhuria kwenye kesi ya kutumia dawa za kulevya inayomkabili.Hati hiyo ilitolewa...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAMOSI APRIL 22, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleSerikali Yatangaza Ajira Mpya 52,436
Serikali inakusudia kuajiri watumishi wapya wa umma 52,436 katika mwaka ujao wa fedha. Aidha, madaktari wapya 258 waliokuwa waende kufanya kazi nchini Kenya, lakini wakakwama kutokana na kuwekewa...
View ArticleNAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI NA MADINI, DKT. JULIANA PALLANGYO...
NA MWANDISHI WETUNAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Dkt, Juliana Palangyo, (pichani anayezungumza), ametembelea miradi ya kuzalisha umeme wa Gesi Asilia ya upanuzi wa Kinyerezi I pamoja...
View ArticleWAZIRI MWAKYEMBE AKUTANA NA UONGOZI WA SIMBA MJINI DODOMA
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harison Mwakyembe akizungumza na uongozi wa Simba ukiongozwa na Rais wake Bw. Evans Aveva Mjini Dodoma. Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na...
View ArticleUzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika Viwanja vya Baraza la Wawakilishi la Zamani Mnanzo Mmoja Mjini...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAPILI APRIL 23, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleYANGA SC YAICHAPA TANZANIA PRISONS BAO 3-0 KOMBE LA SHIRIKISHO ASFC
Mshambuliaji wa Yanga, Amis Tambwe akiruka juu sambamba na kipa wa Tanzania Prisons, Andrew Ntala katika mchezo wa Kombe la Shirikisho uliofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Yanga...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMEWATAKA MABALOZI WA TANZANIA KUTANGAZA FURUSA...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na Mabalozi Wanane waTanzania Walioteuliwa hivi karibuni, Ambao Walifika Ofisini kwake Mjini Dodoma 21/April/2017 kumuaga kwa ajili ya kwenda Kuanza Kazi ya...
View Article