Mshindi wa Biko Milioni 10 apokea fedha zake na elimu NMB
Ofisa wa Benki ya NMB kushoto akimkabidhi kadi yake ya benki mshindi wa shindano la bahati nasibu ya Biko baada ya kushinda Sh Milioni 10 za shindano hilo nchini Tanzania. Anayeshuhudia kulia ni Meneja...
View ArticleUHAMIAJI WAFANYA UZINDUZI WA MFUMO WA KUHAKIKI VIBALI VYA UKAAZI KI -...
  Kamishna Jenerali  wa Idara ya Uhamiaji Dkt. Anna Makakala akifafanua jambo kwa  waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa mfumo mpya wa kielektroniki wa uhakiki  vibali vya ukaazi...
View ArticlePICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA TISA MKUTANO WA SSBA WA BUNGE LA 11 MJINI...
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson  akiongoza kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.Naibu Waziri wa Nchi Ofisi...
View ArticleWaziri Mkuu Kassim Majaliwa Bungeni leo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Mawaziri kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma, Aprili 19, 2017. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Tekinolojia na Mafunzo ya Ufundi...
View ArticleMAGAZETI YA LEO ALHAMISI APRIL 20, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleViroba vyapaisha ugoro
Baada ya kupigwa marufuku kwa pombe zilizokuwa zinafungwa kwenye mifuko ya plastiki maarufu viroba, baadhi ya vijana Manispaa ya Shinyanga wameanza kutumia ugoro kwa kasi wakidai ni mbadala wa pombe...
View ArticleAgness Masogange Mahakamani Tena Leo
Msanii Agnes Waya, maarufu Masogange anatarajiwa kupandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam leo wakati kesi yake ya tuhuma za kutumia dawa za kulevya inapokuja kwa...
View ArticleSTAILI MPYA YA WIZI WA PIKIPIKI YAIBUKA MKOANI KILIMANJARO
STAILI mpya ya uporaji pikipiki imeanza kuutikisa mkoa wa Kilimanjaro, ambapo watu wasiojulikana hutumia usafiri wa magari kusimamisha madereva wa vyombo hivyo barabarani na kisha kupora na...
View ArticleYALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUMI MKUTANO WA SABA WA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA...
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akimuapisha Mhe. Dkt Getrude Rwakatare kuwa Mbunge. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akimkabidhi...
View ArticleSERIKALI KUWALIPA WALIMU MADENI YAO BAADA YAKUJIRIDHISHA NI HALALI
 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijibu maswali ya wabunge katika kikao cha kumi cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20, 2017. Serikali...
View ArticleWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI YAJIDHATITI...
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Susan Kolimba akijibu swali la Mhe. Raisa Adallah Musa Bungeni katika kipindi cha maswali na majibu mapema leo asubuhi, amesema...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA KAMISHNA MKUU WA TRA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) Bw. Charles Kichere (kushoto) aliyemtembelea leo ofisini kwake,...
View ArticleWAZIRI MKUU MAJALIWA - WATANZANIA WATAKIWA KUENDELEA KUIAMINI SERIKALI
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali bungeni mjini Dodoma, Aprili 20, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza swali wakati alipoulizwa na Kiongozi wa...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA SHIRIKISHO LA...
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika kikao na Viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (Trade Union Congress of Tanzania -TUCTA) Ikulu jijini Dar...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI APOKEA UJUMBE TOKA KWA RAIS KAGAME WA RWANDA IKULU DAR ES...
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Dkt. Musafiri Papias, Waziri wa Elimu wa Rwanda na Mjumbe maalumu wa Rais Paul Kagame alipokutana naye Ikulu jijini Dar...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA APOKEA TAARIFA YA KAMATI YA MGOGORO WA LOLIONDO
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wajumbe wa Kamati Shirikishi  (TEULE) ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha ya kushughulikia mgogoro wa matumizi ya ardhi kwenye pori Ttengefu la Loliondo kabla ya...
View ArticleTAASISI YA VICTORIA YAZINDULIWA NA KUTOA MAFUNZO KWA WAJANE
Picha mbalimbali zikionesha matukio wakati wa uzinduzi wa Taasisi ya Victoria Foundation uliofanyika hivi karibuni katika mji wa Geita ulioenda sabambamba na utoaji vyeti kwa washiriki wa mafunzo ya...
View ArticleZURICH GROUP, JUBILEE INSURANCEWAZINDUA BIMA MPYA YA GHARAMA NAFUU 'AFYA WOTE'
Kaimu Mkurugenzi wa Sera na Mipango Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wzee na Watoto, Edward Mbanga (Wa pili Kulia) akipokea Tisheti kutoka kwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Zurich Group, Sudi Simba,...
View ArticleMtoto Asombwa na Maji ya Mto Ngerengere Chalinze
MTOTO wa darasa la kwanza katika shule ya msingi Ubena, Tarafa ya Chalinze mkoa wa Pwani aliyefahamika kwa majina ya Karim Salum, anasadikika kufariki dunia baada ya kuzama kwenye maji ya mto...
View ArticleMAGAZETI YA LEO IJUMAA APRIL 21, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View Article