Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

MCHUNGAJI KIZIMBANI KWA KUFOJI PASIPOTI

$
0
0
Idara Uhamiaji mkoa wa Arusha imewapandisha kizimbani watu watano,akiwamo mchungaji wa kanisa la Pentecostal kwa kosa la kufoji hati ya kusafiria.
Akizungumza na wanahabari leo, Ijumaa, Ofisa uhamiaji mkoa wa Arusha,Ally Dady alisema raia hao wawili wenye asili ya Congo, wakiwa pamoja na mtoto wao, wamebainika kuishi nchini kinyume cha sheria na kujaribu kufoji hati ya kusafiria
Pia alisema licha kubainika kuishi kinyume na sheria nchini,wamefanikiwa kuwakamata na kuwapandisha watanzania watatu ambayo walikuwa wakiwasaidia raia hao wakikongo
Akitaja watuhumiwa wote alisema raia hao wawili Linda Mbaki Diangwe na Glory Mwanza Lubinga walishtakiwa kwa makosa mawili ikiwamo kutoa maelezo yasiyo sahihi ili kufoji hati ya kusafiria.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>