MAGAZETI YA LEO JUMANNE APRIL 18, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleWakazi wa Mbagala wavutiwa na tamasha la Taifa Moja concert
Msanii wa Bongo Fleva Harmonize akitumbuiza wakati wa tamasha la Taifa Moja lililofanyika Jumapili ya Pasaka kwenye viwanja wa Mbagala Zakhem Jijini Dar es Salaam. Tamasha la Taifa Moja lina lengo ya...
View ArticleJACQUELINE NTUYABALIWE ANYAKUA TUZO ZA A-PRIME DESIGN
Mrembo wa Tanzania mwenye tamaa ya kuwa na himaya ya samani za kimataifa kupitia kampuni yake, kama alivyowahi kuelezwa na jarida la Forbes hivi karibuni, Jacqueline Ntuyabaliwe ametwaa tuzo mbili za...
View ArticleMKURUGENZI WA JIJI ARUSHA ATOA SEMINA KWA WATENDAJI WAKE
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Ndg Athumani Juma KihamiaNa Mwandishi Wetu, ArushaMkurugenzi wa Jiji la Arusha Ndg Athumani Juma Kihamia amefanya kikao na watumishi wa serikali katika Kata ya Muriety na...
View ArticleDAWASA YAKAMILISHA KAZI YA UPANUZI WA MTAMBO WA RUVU JUU: SASA WAZALISHA LITA...
Moja ya mitambo ya maji katika eneo la Ruvu Juu kama inavyoonekana, mitambo hii ni mipya na kwa sasa ndiyo itasaidia kuongeza uzalishaji wa maji toka lita milioni 82 hadi lita milioni 196 kwa siku. Hii...
View ArticleHABARI YA WAZIRI MWAKYEMBE YALIPONZA GAZETI LA MWANAHALSI
Katika toleo namba 387 la Jumatatu April 17-23, 2017 gazeti la MwanaHalisi katika ukurasa wake wa kwanza lina habari isemayo:“Mwakyembe: Maisha Yangu Yako Hatarini.” Habari hiyo inadai kuwa Mhe. Dkt....
View ArticleMdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Aibua Ubadhirifu wa...
UBADHIRIFU wa kutisha unaohusisha mabilioni ya fedha, umefichuliwa kwenye Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), ukihusisha uongozi, wafanyakazi, watoa huduma na wazabuni. Wanaodaiwa kuhusika na...
View ArticleBALOZI WA MSUMBIJI AKUTANA NA TCCIA KUIMARISHA MAHUSIANO YA BIASHARA KATI YA...
Balozi wa Msumbiji nchini Bi Monica Patricio Clemente akizungumza na viongozi wa TCCIA walioongozana na Makamu wa Rais-Viwanda Bw. Octavian Mshiu wa kwanza kulia, Mkurugenzi Mtendaji Bw. Gotfrid...
View ArticleBaraka - Siwezi kuwa na mtu mwenye kasoro
Msanii Baraka The Prince akiwa na NajmaMsanii Baraka The Prince ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake 'Acha niende' amefunguka na kusema yeye ameridhika na Najma kwa kila kitu na kusema hawezi kuwa...
View ArticleKALA JEREMIAH AWACHANA WANAOJISIFIA
Msanii wa miondoko ya 'HipHop' nchini Tanzania, Kala Jeremiah awachana wasanii wenzake kuwa waache tabia ya kuharibu misingi ya 'HipHop' kwa kutunga nyimbo zenye mashairi ya kujisifia vitu walivyokuwa...
View ArticleSERIKALI KUANZISHA MFUKO WA MAENDELEO YA SANAA
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi, Anastazia Wambura Na Daudi Manongi-MAELEZO, DODOMA.Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo inaendelea na mchakato wa...
View ArticleCGI Atembelea Ofisi Ya Mufti Wa Tanzania
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. AP. Makakala akieleza jambo kwa Mufti Mkuu wa Tanzania , Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally, alipomtembelea Mufti Ofisini kwake Kinondoni leo asubuhi. Kamishna...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA VIONGOZI WA UWT ZANZIBAR
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa UWT kutoka mikoa minne ya Unguja.Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na...
View ArticleYALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA NANE CHA MKUTANO WA SABA WA BUNGE LA 11 APRIL 18,...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017. (Picha na Raymond Mushumbusi Dodoma...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATANO APRIL 19, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA MAONYESHO YA MIFUKO YA UWEZESHAJI YA...
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na baadhi ya viongozi walioshiriki katika Maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi ya Serikali aliyoyafungua kwenye uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma...
View ArticleWAPINZANI WADAI WAKURUGENZI WALIOTUMBULIWA WANALIPWA MILIONI 480 KWA MWEZI
Maoni ya upinzani ya wizara mbili, jana yaliibua hoja tofauti; ya kwanza ikidai Serikali inawalipa wakurugenzi 120 waliotumbuliwa Sh480 milioni, na ya pili ikikikishutumu kiti cha Spika kwa kuzuia...
View ArticleKAMANDA SIRRO AWATAKA WANANCHI KUTOJICHUKULIA SHERIA MIKONONI
Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Kamishna Simon Sirro amewataka wananchi kuacha kujichukulia sheria mikononi badala yake waviachie vyombo husika ili viweze kufanya kazi...
View ArticleMadaktari 258 walioomba ajira Kenya kuajiriwa serikalini
Rais John Magufuli amesema kati ya madaktari 500 walioonyesha nia ya kwenda kufanya kazi nchini Kenya watachaguliwa 258 na kuajiriwa na serikali ya Tanzania mara moja kuanzia sasa.Taarifa iliyotolewa...
View ArticleBALOZI WA MPYA WA CUBA AJITAMBULISHA KWA DK.SHEIN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na mgeni wake Balozi mpya wa Cuba katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Lucas Domingo Hermandez Polledo...
View Article