MAGAZETI YA LEO JUMAPILI APRIL 16, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA PASAKA KANISA LA AFRICA INLAND CHURCH...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Baba Askofu wa Kanisa la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni Askofu Charles Salala mara baada ya kuwasili...
View ArticleWaziri Mkuu Kassim Majaliwa Kaagiza Mkurugenzi wa Kampuni ya 4×4 Tanzania...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema timu aliyoiunda ichunguze tuhuma za ubadhirifu kwenye Chama Kikuu cha Ushirika wa Tumbaku (WETCU) imekamilisha kazi yake na imebaini madudu mengi zaidi.Machi 16,...
View ArticleWAGONJWA WAGOMEA ZAWADI YA VYAKULA, WATAKA DAWA
Katika hali isiyotarajiwa, baadhi ya wagonjwa waliolazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Bukombe mkoani Geita juzi walikataa kupokea msaada wa vyakula na sabuni kama zawadi ya sikukuu ya Pasaka, badala...
View ArticleMIILI YA ASKARI NANE WALIOUAWA NA MAJAMBAZI MKOANI PWANI YAAGWA RASMI,WAZIRI...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchini, Mwigulu Nchemba, akitoa heshima za mwisho Dar es Salaam mbele ya majeneza yenye miili ya askari nane waliouawa na majambazi Kibiti wilayani Mkuranga mkoani Pwani...
View ArticleKINYEREZI FAMILY YAWAKUMBUKA WATOTO YATIMA WA KITUO CHA NEW HOPE SIKUKUU YA...
Wadau wa Kinyerezi Family kiwa sambamba na Watoto wa kituo cha Watoto waishio katika mazingira magumu, New Hope kilichopo Tabata,wakisali kwa pamoja mara baada ya kuwakabidhi Msaada wa vitu...
View ArticleSHAMRA SHAMRA, VIGEREGERE VYATAWALA IBADA YA PASAKA KKKT KIVULE DAR
Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Mtaa wa Kivule, Dar es Salaam, wakiimba kwa hamasa wimbo wa kufufuka kwa Yesu Kristo wakati wa Ibada ya Pasaka leo. PICHA ZOTE NA RICHARD...
View ArticleRais Dkt.Magufuli aiagiza TCU kutojihusisha tena na zoezi la kuwapangia...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameiagiza TCU kutojihusisha tena na zoezi la kuwapangia wanafunzi vyuo na badala yake wafanye kazi ya kusimamia viwango vya ufaulu ili...
View ArticleMAMIA YA ABIRIA WAKWAMA NJIANI BAADA YA LORI LILILOBEBA MAKAA YA MAWE KUPATA...
Watu watatu wamenusurika kufa huku mamia ya abiria wanaosafri kuelekea Dar es Salaam na mikoa ya Lindi na Mtwara na wanaotokea mkoa wa Ruvuma wakielekea mikoa hiyo wakikwama njiani baada ya roli...
View ArticleYanga waachwa na ndege Algeria
Yanga imepata pigo lingine nchini Algeria baada ya wachezaji wake kuchelewa ndege kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Houari Boumediene, jijini Algers.Wachezaji hao walikuwa wasafiri na ndege ya...
View ArticleP Funk amuonya Master J kuhusu Harmorapa
Mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini P Funk Majani amemuonya mkongwe mwenzake katika game, Master J kutomsema vibaya kwa kumsapoti msanii Harmorapa kwa madai kuwa msanii huyo hana kipaji.P Funk pia...
View ArticlePICHA: KOREA KASKAZINI YAWACHIMBA MKWARA MAADUI ZAKE KWA KUONESHA SILAHA NZITO
Korea Kaskazini imetoa onyo kwa maadui zake Jumamosi hii kwa kuonesha silaha zake mpya na nzito kwenye gwaride la kijeshi mbele ya kiongozi wake.Pyongyang imeonesha silaha zake kadhaa kwa mara ya...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATATU APRIL 17, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleKajala aendesha droo ya kwanza ya Ijue Nguvu ya Buku ya Biko
Msanii nyota wa filamu Tanzania, Kajala Masanja, kulia akishiriki katika droo ya kwanza ya bahati nasibu ya Ijue Nguvu ya Buku inayoendeshwa na Kampuni ya Biko ambapo ilimpata mshindi wake wa kwanza wa...
View ArticleMKE WA ROMA MKATOLIKI AFUNGUKA KUHUSU TUKIO LA MUME WAKE KUTEKWA
Mke wa msanii Roma Mkatoliki, Nancy Mshana amefunguka kwa mara ya kwanza toka mume wake alipotekwa na kupatikana na kuwashukuru Watanzania ambao walikuwa pamoja na yeye katika kipindi kigumu.Mrembo...
View ArticleEKA 17 ZA MASHAMBA YA BANGI ZAFYEKWA
Polisi Mkoa wa Arusha wameteketeza eka 17 za mashamba ya bangi katika Kata ya Kisimiri, wilayani Arumeru. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo alisema mashamba hayo yalitekelezwa wakati wa...
View ArticleWaziri Nchemba Atoa ONYO Kwa Wanaotumia Dini Kufanya Uhalifu
Waziri wa Mambo ya Ndani Tanzania Mwigulu Nchemba, amewaonya waumini wa dini mbalimbali nchini kutotumia mwamvuli wa dini kufanya vitendo vya uhalifu ikiwemo kudhuru maisha ya wengine, huku akitangaza...
View ArticlePicha: Mvua zaendelea kunyesha mjini bukoba
Mto Kanoni ukiwa umejaa kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha Mjini Bukoba.Mvua zimeendelea kunyesha mjini Bukoba lakini bila kuleta madhara makubwa kwa wakazi wa mji huo. (Picha na BukobaWadau...
View ArticleWLAC WAANZISHA MABONANZA KUHAMASISHA JAMII KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA
Mwanasheria wa Kituo cha Msaada wa Kisheria kwa Wanawake na Watoto (WLAC) Abia Richard, akizungumza wakati wa Tamasha la Vijana la kupinga Ukatili wa Kijinsia lililofanyika kwenye Viwanja vya Mwembe...
View ArticleHUU NDIO UHALISIA WA MAISHA YA UGHAIBUNI NINAO UFAHAMU MIMI
Na Mwandishi wetu, Vijmambo Blog.Kwanza kabisa namshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kutujalia siku nyingine tena na nimatumaini yangu upo vizuri tu na mchaka mchaka wa kila siku.Leo napenda...
View Article