Mto Kanoni ukiwa umejaa kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha Mjini Bukoba.
Mvua zimeendelea kunyesha mjini Bukoba lakini bila kuleta madhara makubwa kwa wakazi wa mji huo. (Picha na BukobaWadau Blog)
Barabara ikiwa imeharibika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha