Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aagiza taarifa za ajira kutolewa kila robo mwaka
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza mamlaka ya serikali za mitaa, wizara na taasisi zote zitoe taarifa za ajira zinazozalishwa kutokana na utekelezaji wa miradi ya maendeleo kila robo mwaka.Ametoa...
View ArticleJESHI LA POLISI LATOA TAHADHARI MSIMU HUU WA SIKUKUU YA PASAKA
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMWILI WA DK MACHA KUWASILI APRILI 20
Mwili wa Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema), Dk Elly Macha unatarajiwa kuwasili nchini Aprili 20 mwaka huu ukitokea nchini Uingereza.Dk Macha alifariki dunia Machi 31 mwaka huu katika Hospitali ya New...
View ArticleMAGAZETI YA LEO IJUMAA APRIL 14, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleRipoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Yaibua Madudu
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2015/16 imeanika madudu kila kona, huku deni la Taifa likizidi kupaa.Pamoja na hali hiyo ripoti hiyo imeeleza kwa kina namna...
View ArticleRAIS MAGUFULI ALAANI MAUAJI YA ASKARI POLISI
Rais John Magufuli amepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za vifo vya Askari Polisi wanane waliouawa kwa kushambuliwa na watu wenye silaha Aprili 13 katika eneo la Jaribu Mpakani, Wilaya ya...
View ArticleSerikali kujenga Kituo cha Menejimenti ya Maafa Dodoma
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akichangia hoja wakati wa kujadili makadirio ya Bajeti ya Ofisi yake kwa mwaka 2017/2018 Bungeni...
View ArticleMHESHIMIWA BALOZI WILSON MASILINGI, AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA...
Tarehe 11 Aprili, 2017, Mhe. Balozi Wilson Mutaganywa Kajumula Masilingi aliwasilisha hati za utambulisho kwa Mhe. Enrique Peña Nieto, Rais wa Mexico, Ikulu Katika Jiji la Mexico. Hafla hiyo...
View ArticleMILLIONI 278 ZA WANACHAMA WA USHIRIKA WA MATAMBA WILAYANI MAKETE HAZIJULIKANI...
Zaidi ya shilingi milioni 278 mali ya wananchi ambao ni wanachama wa chama cha kuweka na kukopa cha Neema SACCOS kilichopo kata ya Matamba wilayani Makete hazijulikani zilipo hali ambayo imewafanya...
View ArticleMAJAMBAZI YALIYOUA POLISI 8 KWA RISASI NAYO YAMEUAWA
Jeshi la Polisi Tanzania limesema limewaua majambazi wanne ambao walikuwa ni sehemu ya kundi la majambazi lililowashambulia na kuwaua askari 8 wilayani Kibiti mkoani Pwana jana usiku.Akizungumza na...
View ArticleWAZIRI NCHEMBA AWASILI ENEO YALIPOTOKEA MAUAJI YA POLISI WANANE
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amewasili eneo yalipotokea mauaji ya askari wanane katika kijiji cha Jaribu, Wilayani Kibiti.Waziri Nchemba ameambatana na naibu wa wizara hiyo, Mhandisi Hamad...
View ArticleSHERIA: UNAWEZA KUMSHITAKI MAHAKAMANI MCHUMBA WAKO ANAPOKUSALITI, NA...
Wakati vilio vya usaliti vikikithili kila kona ya dunaia kwa mmoja kwenye mahusiano kumsaliti mwingine ilhali mulishaaminishana kuwa munapendana ikiwa mwenzawako amwekeza nguvu zake zote kwako kwa...
View ArticleWAIMBAJI WA TAMASHA LA PASAKA WAANZA KUWASILI LEO,SOLLY MAHLANGU KUWASILI...
Pichani kulia ni Mwimbaji mahiri wa nyimbo za injili kutoka nchini Kenya,Mercy Masika akiimba moja ya wimbo wake ulioitwa Mkono wa Bwana, mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani),leo mchana,jijini...
View ArticleMKUTANO BAINA YA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI UMEKUWA WA MAFANIKIO
Waziri Charles Mwijage akizungumza na wadau wa Sekta Binafsi katika Mkutano maalum kati ya Sekta hiyo na Serikali.Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilikutana na wadau wa Sekta Binafsi mapema...
View ArticleMAGAZETI YA JUMAMOSI APRIL 15, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleJinsi mauaji ya kutisha ya polisi nane yalivyofanyika
Wakati Taifa likiwa katika simanzi na taharuki baada ya askari wanane kupoteza maisha katika shambulizi lisilo la kawaida dhidi ya Jeshi la Polisi, mashuhuda wa tukio hilo wanasema wauaji walijipanga...
View ArticleAHUKUMIA JELA MIAKA 30 NA VIBOKO 5 KWA KOSA LA UBAKAJI
Mahakama ya Wilaya ya Hai imemhukumu Daudi Maulid (22) mkazi wa Kijiji cha Longoi, Kata ya Masama Rundugai, kutumikia kifungo cha miaka 30 jela na viboko vitano baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka...
View ArticleOFISI YA RAIS TAMISEMI NA WABUNGE WAONGOZA MAZOEZI DODOMA KUMUUNGA MKONO...
Vikundi vya Jooging kutoka Dodoma vikiwa katika mazoezi ya kukimbia kutoka Viwanja vya Nyerere Square hadi Viwanja vya Kilimani Club Mjini Dodoma.Vikundi vya Jooging kutoka Dodoma vikiwa katika mazoezi...
View ArticleMAJALIWA AZUNGUMZA NA WAKULIMA NA WADAU WA ZAO LA TUMBAKU MJINI TABORA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakulima, Wenyeviti wa Vyama vya Msingi na wadau wa zao la tumbaku kwenye ukumbi wa Isike Ngw’ana Kiyungi mjini Tabora Aprili 15, 2017. Kushoto ni Waziri wa...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AZINDUA MAJENGO YA HOSTELI ZA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandala wakati akiwasili kuzindua majengo mapya ya mabweni...
View Article