Msanii wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi maarufu kama Snura wa Majanga akiwa nyumbani kwake alipokuwa anajiandaa kwenda kwa watotot yatima kusherekea siku yake ya kuzaliwa na watoto hao
Watoto wanaolelewa na kituo cha Chakuwama kilichopo Sinza Mori jijini dar es Salaam wakiwa wanaomba dua mara baada ya msanii Snura kufika kwenye hicho kituo.
Watoto wakisikiliza neno kutoka kwa kiongozi wao
Msanii Snura akiomba dua na watoto wanaolelewa na kituo hicho(hawapo pichani) alipofika kusherekea siku ya kuzaliwa na watotot hao
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Kiongozi wa Kituo hicho cha Chakuwama akiongoza dua
Msanii Kala naye aliongozana na Snura katika kituo hicho
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Snura aliongozana na Mama mzazi wa Snura, Doto Sanzagara katika kituo cha kulelea watoto wakati kusherekea siku yake ya kuzaliwa katika kitua cha watotot yatima
Mama na Mtoto wakiwa kwenye picha ya pamoja
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi maarufu kama Snura wa Majanga akiwa na ndugu zake pamoja na watoto wa kituo hicho alipofika kusherekea nao sherehe ya kuzaliwa kwake
Mkuu wa kituo akimkaribisha Msanii wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi maarufu kama Snura wa Majanga ili aweze kukata keki.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi maarufu kama Snura wa Majanga akikata keki kwene kituo cha kulelea watoto cha Chakuwama kulichopo Sinza
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi maarufu kama Snura wa Majanga akilishwa keki na mtoto Hawa
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi maarufu kama Snura wa Majanga akimlisha mtoto anayelelewa na kituo hicho
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi maarufu kama Snura wa Majanga akilishwa keki na mtoto wake
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi maarufu kama Snura wa Majanga akilishwa keki na mama yake mzazi
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi maarufu kama Snura wa Majanga akimlisha mdogo wake Amisuu Malik
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi maarufu kama Snura wa Majanga akimlisha keki Pacha
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi maarufu kama Snura wa Majanga akimlisha Msanii wa Bongo Flava, Kala Jeremiah
Msanii wa Bongo Flava, Kala Jeremiah akimlisha keki Snura wakati wa sherehe ya kuzaliwa kwake
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi maarufu kama Snura wa Majanga akimlisha Davina
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi maarufu kama Snura wa Majanga akimlisha meneja wake Hemed Kavu maarufu kwa HK
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi maarufu kama Snura wa Majanga akiwagawia watoto soda na keki watoto wote wa kituo hicho ili kusherekea kwa upendo
Msanii wa muziki wa kizazi, Snura wa Majanga akimkabidhi keki mama yake mzazi
Msanii wa muziki wa kizazi, Snura wa Majanga akimkabidhi keki mmoja wa mtoto aliyewawakilisha wenzake.
Msanii wa muziki wa kizazi, Snura wa Majanga akimkabidhi keki mwanaye mpendwa kwa niaba ya familia yake
Msanii wa muziki wa kizazi, Snura wa Majanga akiwa na watoto ambao ni mapacha kwenye kituo cha kulelea watoto yatima cha Chakuwama kilichopo Sinza Mori
Msanii wa muziki wa kizazi, Snura wa Majanga akiwakabidi zawadi watoto ambao watoto wanaolelewa kwenye kituo cha watoto yatima cha Chakuwama kilichopo Sinza Mori