Leo asubuhi basi la abiria la kampuni ya Mtei Express likitoka Sindida kwenda Arusha limechomwa moto na wananchi wenye hasira maeneo ya Njia panda Mnadani, mkoani Singida baada ya bus hilo kugonga pikipiki yaani bodaboda na kuua watu watatu hapo hapo.