Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

UPDATES: AJALI MBAYA IMETOKEA MDA HUU KATI YA ENEO LA WAMI NA SEGERA

$
0
0
Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo akiwa Amelazwa Pembeni baaada ya kupewa msaada.
Ajali mbaya imetokea muda si mrefu eneo kati ya Wami na Segera,ajali hiyo imesababishwa na gari aina ya Noah ambayo ilikuwa inatokea Moshi mjini kuelekea Dar,Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa gari hiyo na pia dereva alikuwa anasinsiza hali hiyo iliyopelekea kucha njia na kuenda kuivaaa gari ya mizigo kwa mbele.Gari hiyo ya noah pia ilikuwa imebeba watu kupita uwezo wake ambapo abiria zaidi ya kumi na mbili walikuwa ndani ya gari hiyo.Mpaka chanzo chetu kinaondoka eneo la tukio hakuna aliyepoteza maisha bali watu ni majeruhi walioumia vibaya sana.
 Huyu pia ni mmoja wa majeruhi ambaye ameumia vibaya sana kwenye mguuu wake

ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Watu wakiendelea kutoa msaada kwa majeruhi wa ajali hiyo
Hii ndi gari aina ya Noah ambayo imepata ajali ikiwa imeharibika vibaya kwa mbele
Huyu mama ameumia vibaya sana kwa kupasuka kwenye paji la usoo

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>