Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

PICHA: MKUTANO WA BAVICHA

$
0
0
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akitoka katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Baraza la Vijana la chama hicho. (Picha zote na Francis Dande)
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (wa pili kulia) akiwaongozi wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Vijana Chadema kuimba wimbo wa taifa wakati wa mkutano huo. 

ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), ambaye amemaliza muda wake,  John Heche akizungumza wakati wa mkutano mkuu wa baraza hilo.
Baadhi ya watu wakinunua fulana za Chadema wakati wa Mkutano Mkuu wa Bavicha.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Vijana Chadema wakiwa katika mkutano huo.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Vijana Chadema wakiimba nyimbo za kuhamasisha chama.



Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>