TAMASHA LA HANDENI KWETU KUVUNJA REKODI YA 2013
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAMMRATIBU Mkuu wa Tamasha la Utamaduni Handeni, maarufu kama ‘Handeni Kwetu’, Kambi Mbwana, ameapa kuhakikisha kuwa tamasha lao msimu wa 2014 linakuwa la aina yake na...
View ArticleCFAO MOTORS WAWEZESHA WAPENZI WA FORMULA ONE DAR KUONA GEMU
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya CFAO Motors, Bw.Wayne McIntosh akisoma risala kwa wageni waalikwa kwenye hafla ya kuona gemu ya mashindano ya magari ya Formula One iliyoandaliwa CFAO Motors usiku wa...
View ArticleBREAKING NEWS: BASI LA AIR BUS KUTOKA DAR ES SALAAM KWENDA TABORA LIMEPATA...
Shughuli za uokozi zikiendelea muda mfupi uliopitaBasi la kampuni ya Airbus lililokuwa likitoka Dar es Salaam leo kuelekea Tabora limepinduka katika maeneo ya maeneo ya Kiegeya Gairo. Haijulikani...
View ArticleWATANZANIA 7 WAMEUAWA KWA RISASI NCHINI ZAMBIA NA WATU WASIOJULIKANA
A combined team of the Zambia and Tanzanian police officers picking dead bodies of 7 men suspected to be Tanzanians found dumped in a bush in Yolo Village, 500 metres from the Tanzanian / Zambia border...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSIANA NA TAARIFA ZA UONGO ZA KUACHIWA HURU...
Hivi sasa kuna taarifa zimesambaa kupitia Ujumbe mfupi wa simu(SMS) na mitandao ya kijamii zikihusisha kuachiliwa huru kwa wafungwa wawili wanaotumikia Kifungo cha Maisha gerezani. Wafungwa hao...
View ArticleNEW UN RESIDENT COORDINATOR AND UNDP REPRESENTATIVE PRESENTS CREDENTIALS TO...
The UN Resident Coordinator and UNDP Representative, Mr. Alvaro Rodriguez has officially presented his credentials to the Government. The Minister of Foreign Affairs and International Cooperation Mr....
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMANNE SEPTEMBER 09, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMAHAKAMA YAAMURU KABURI LA MUME KUFUKULIWA MOSHI VIJIJINI
Wachimabji wa Kijiji cha Mandaka wilaya ya Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro wakifukua Kaburi la Marehemu Stephen Assey jioni hii kwa amri ya mahakama.Askari Polisi wakisimamia zoezi la ufukuaji wa...
View ArticleZITAMBUE FAIDA KUMI(10) ZA HUGGING (KUKUMBATIA), ANZA LEO
1.Husaidia uzalishaji wa homoni ya “oxytocin” ambayo husaidia sana mwili kuondoa tatizo la kuhisi upweke, hasira, na kutengwa.2.Unapomkumbatia mtu, unaupa mwili hali ya kujihisi salama na huru pia.3....
View ArticleUPDATES: KABURI LA MMOJA KATI YA WALIOPATA AJALI YA BUS MUSOMA LAFUKULIWA NA...
Kaburi la mmoja kati ya watu waliopoteza maisha katika ajali mbaya iliyohusisha mabasi ya Mwanza Coach na J4 katika eneo la Sabasaba, Musoma, Mara limekutwa likiwa limefukuliwa na watu wasiojulikana...
View ArticleGARI AINA YA TOYOTA VEROSSA INAUZWA
Gari inauzwa kwa bei nzuri tu na ipo Dar kwa atakayeipenda tuwasiliane kupitia mawasiliano hapo chiniSPECIFICATIONS ZA GARI HIYO NIMAKER: TOYOTAMODEL: VEROSSAYoM: 2001CC: 1980Odo:...
View ArticleHAYA SIO MANENO YANGU
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTAARIFA KWA UMMA: MKUTANO WA MAAFISA MIPANGO KUFANYIKA MWEZI OKTOBA MWAKA HUU
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini (Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango), Bi Joyce Mkinga (Kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati alipokuwa akitoa taarifa ya kufanyika...
View ArticleLORI LAPINDUKA NA KUUA DEREVA ENEO LA SEKENKE MKOANI SINGIDA
Wananchi wakishuhudia lori la saruji lililopinduka na kuua dereva wake leo eneo la Milima ya Sekenke mkoani Singida.DEREVA wa lori lililokuwa limebeba saruji kutoka jijini Dar es Salaam kuelekea...
View ArticleUPDATES: TCD YATOA TAMKO KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA NA UCHAGUZI MKUU WA 2015
Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Mhe. John Cheyo akitoa tamko kuhusu mchakato wa Katiba na Uchaguzi Mkuu wa 2015 leo 9 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa Idara ya Habari Bungeni mjini...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATANO SEPTEMBER 10, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMH. ZITTO KABWE KUBURUZWA MAHAKAMANI NA IPTL
Wadai fidia ya shilingi bilioni 500Kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na wadai wengine wawili wamefungua kesi ya madai katika Mahakama Kuu dhidi ya Mbunge wa Jimbo la...
View ArticleRAIS KIKWETE AKAGUA UTAYARI WA TANZANIA KUKABILIANA NA EBOLA
Wauguzi Theresia Haule (kulia) na Honoratha Mlunde wakiwekana sawa mavazi maalumu tayari kutoa huduma katika wodi maalumu iliyotengwa kwa ajili ya wagonjwa wa ebola iliyoko katika eneo la hospitali ya...
View ArticleMSHINDI WA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) 2014, MWANAAFA MWINZAGO APOKELEWA KWA...
Mara baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Mtwara, Mshindi wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 Mwanaafa Mwinzago akitoa Maneno ya Shukrani kwa Wakazi wa Mtwara waliojitokeza kuja...
View ArticleTANCIS KUPUNGUZA MUDA NA KUIONGEZEA MAPATO SERIKALI
Mkurugenzi Mkazi wa ASASI isiyo ya kiserikali ya kupiga vita umaskini Actionaid Tanzania (AATZ), Yaekob Metena akifungua kongamano la siku tatu kwa asasi zisizo za kiserikali, wawakilishi kutoka...
View Article