Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

MSAADA WA WHEELCHAIR TOKA MAREKANI WA BIBI SCHOLASTICA MHAGAMA ANAYESHI SONGEA

$
0
0
Kuna masamalia mwema ametuma Wheelchair kwa Scholastica Mhagama (76)  mwenye ulemavu wa viungo anayeishi peke yake katika kibanda kilichoezekwa kwa nyasi.
Bibi huyo mkazi wa Kijiji cha Lundusi Kata ya Peramiho wilayani Songea Mkoa wa Ruvuma, Msamalia huyu kutoka Maryland Marekani anaitwa Joyce Rwehumbiza aliguswa na stori iliyoandikwa na gazeti la mwananchi iliyoweka mawasiliano na  albano.midelo@gmail.com, 0688551355 iliyobeba kichwa cha habari "Bibi ajitengenezea jeneza baada ya kuchoshwa na dhiki" 
Bibi Scholastica Mhagama akiwa amejitengenezea jeneza lake
Joyce Rwehumbiza ameishatuma Wheelchair hiyo inafika Dar es Salaam leo Ahamisi Sept 11, 2014 na amejaribu kuwasiliana na mwandishi wa hii stori lakini hakuweza kumpata ameomba tafadhali Albano Midelo awasiliane na namba 0765 835722 wheelchair itafikia hapo na ameombwa afanye haraka kwani baada ya siku 2 huyu mama anatarajiwa kusafiri.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>