YALIYOJIRI KWENYE USIKU WA MARAFIKI WA DIVA ILIYOFANYIKA CLUB MAISHA JIJINI DAR
Bob Junior akitoa burudani ya nguvu club Maisha ya jijini DarMsanii wa muziki wa kizazi kipya, Godzilla akiimba mbele ya mashabiki wae kwenye Club ya maisha jijini Dar es Salaam.ENDELEA KUTIZAMA TUKIO...
View ArticleMAKANISA SINGIDA YAONYA MATUSI NA UBAGUZI BUNGENI
Askofu wa kanisa la Evanglist Assembels of God Tanzania (E.A.G.T) Singida mjini, John Mafwimbo akizungumza kwenye mkutano wa Injili uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Ukombozi mjini...
View ArticleKAMPUNI YA MSAMA PROMOTION NA JESHI LA POLISI WAKATAMA KAZI FEKI ZA WASANII
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari kwenye kituo cha polisi cha Urafiki wakati akitangaza kukatatwa kwa watuhumiwa 17 wanaorudufu kazi za wasanii...
View ArticleWACHEZAJI WA ZAMANI WA REAL MADRID WATEMBELEA MLIMA KILIMANJARO
 Wakongwe wa Klabu ya Real Madrid ya nchini Hispania wakipiga picha za kikundi cha ngoma kilichokuwa kikiwatumbuiza mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro kabla ya kuelekea Mlima...
View ArticleZITAMBUE TABIA MBAYA ZA KIUONGOZI AMBAZO ZINAHARIBU MAKAMPUNI
Nimesikia msemo unaosema watu huwa hawayaachi makampuni bali huwaacha mameneja au huwakimbia mameneja wa makampuni hayo. Kam hivyo ni kweli, kuna baadhi ya mameneja wanaweza kuwaweka watu ndani au...
View ArticleHUU SIO UTANI SASA
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleBUNGE LA AFRIKA MASHARIKI KUFANYA KIKAO CHAKE CHA BUNGE KARIMJEE DAR ES...
Spika wa Bunge la Jumuia ya Afrika Mashariki (EALA) Dk. Margaret Nantongo Zziwa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari katika ofisi za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dar es...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMANNE AUGUST 26, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MEGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMO AZINDUA JARIDA LA IRIS EXECUTIVE NA KUSEMA UTAJIRI HAUJI "KIRAHISI RAHISI"
Mgeni rasmi Ofisa Mtendaji Mkuu wa MeTL GROUP Mh. Mohammed Dewji (Mb) ambao ndio wadhamini wakuu wa sherehe za uzinduzi wa jarida la IRIS Executive (katikati), Ofisa Mtendaji Mkuu wa IRIS Executive...
View ArticleVIDEO: KUTANA NA DR. ROBERT CHARLES GALLO, BINADAMU ALIYETENGENEZA VIRUSI VYA...
Makala hii kweli inaleta kizunguzungu unaposikiliza. Sijui madocta mnasemaje juu ya hili swala. Kumbe Tanzania ndiyo ilikuwa ni center ya AIDS Africa? .Jitahidini hata msio Madokta msikilize kwani...
View ArticleFAINALI YA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) KUFANYIKA TAREHE 30 AUGUST 2014 NDANI...
 Mc Pilipili Akiongea mbele ya Waandishi wa habari wakati wa Mkutano na Waandishi wa habari kuhusiana na fainali kubwa ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) litakalofanyika tarehe 30 August 2014...
View ArticleSASA UTANI UMEZIDI
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleBUNGE LA KATIBA LAJIGEUZA TUME YA WARIOBA
Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta (kushoto) akimsikiliza Rais wa Shirikisho la Wasanii Tanzania (Taff), Simon Mwakifwamba (kulia) wakati wasanii walipokutana na uongozi wa Bunge hilo mjini...
View ArticleUPDATES: WATU 120 WANUSURIKA KIFO BAADA YA BASI LA HOOD KUGONGANA USO KWA USO...
  Watu mia moja na ishirini wamenusurika kifo na wengine kujeruhiwa katika eneo la Kikatiti wilayani Arumeeru baada ya mabasi ya Hood lililokuwa linatoka Arusha kwenda Iringa kugongana na basi la...
View ArticleVITU VYA KUFANYA NA KUTOFANYA WAKATI WA LIKIZO YAKO
Je ulishawahi kufanya likizo ambayo unaendelea kufanya kazi? Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanahitajika sana katika kitengo chako kama mhandisi wa mashine au mitambo fulani. Makosa ambayo wengi...
View ArticleOFISI YA BUNGE YATOA UFAFANUZI KUHUSU MALIPO YA POSHO ZA WAJUMBE WA BUNGE...
Mkurugenzi wa Habari na Itifaki, Bw. Jossey Mwakasyuka (kushoto) akitoa ufafanuzi mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba leo...
View ArticleMAAJABU: TAZAMA MTI WA MAAJABU UNAOTOA MATUNDA YENYE UMBO KAMA LA BINADAMU
Duniani kuna maajabu, mti huu unaotoa matunda yenye umbo la binadamu huko nchini Thailand na kuzaa kila baada ya miaka 20. Haya ndiyo maajabu ya dunia, ukistaajabu ya Musa utaona ya mti huu wa...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATANO AUGUST 27, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleEXCLUSIVE: MTANZANIA DABO AMETAJWA KUWANIA TUZO ZA REGGAE ZA KIMATAIFA NA...
Unaweza kuwa humfahamu kwa vile hana kelele nyingi....TUONYESHE UZALENDO KWA KUMPIGIA KURA SASAMsanii bora wa muziki wa Reggae Tanzania, DABO (Pichani) amepata nafasi ya kuipeperusha bendera ya...
View ArticleKAMATI YA VIJIMAMBO YAKUTANA NA MHE. BALOZI LIBERATA MULAMULA
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiongoza kikao cha kamati ya maandalizi ya sherehe ya miaka 4 ya Vijimambo ambayo imebeba ujumbe wa kutangaza maliasili...
View Article