ZITAMBUE DALILI HATARI ZINAZOASHIRIA KWAMBA UHUSIANO WENU UMEFIKA UKINGONI
1. Kama mwenza wako hakupi kipaumbele katika mambo yanayotokea, pengine anaumwa lakini huambiwi chochote unakuja kusikia hayo kutoka kwa marafiki, anaandika kwenye mitandao ya kijamii, ama ndugu...
View ArticleMHE. LIBERATA MULAMULA AKUTANA NA MHE. ARNELL MILLS, MEYA WA MJI WA...
Mhe. Meya Wills akipokelewa na Bw.Suleiman Saleh, Afisa wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano waTanzania, Washington DC mara baada ya kuwasili Ubalozini hapo kwa mazungumzo na Mhe. Balozi Liberata...
View ArticleTAZAMA VIDEO YA MAGOLI KATIKA MECHI YA MAN U DHIDI YA MK DONS WALIVYOFUNGWA...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMWALIKO WA KUHUDHURIA MKUTANO
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMPYAAA: TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KUTOKA TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleFLORA MBASHA AFUNGUKA NA KUSEMA ANA MIMBA YA MBASHA NA SIO YA GWAJIMA
Muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania ambae pia ni Mke wa Emmanuel Mbasha amefunguka na kusema kuwa hana mahusiano yoyote ya kimapenzi na na Mchungaji wa Kanisa la kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat...
View ArticleHALIMA MDEE AMWAGA MACHOZI BAADA YA WANACHAMA WAMKABIDHI FOMU KUWANIA...
Halima Mdee akianza kutoa chozi baada ya wanachama wa CHADEMA, kumchukulia fomu za kuwania nafasi ya Uenyekiti wa Taifa wa Baraza la Wanawake wa Chadema ( Bawacha) Baadhi ya wanachama wa Chadema wakiwa...
View ArticleMAGAZETI YA LEO ALHAMIS AUGUST 28, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleRAIS KIKWETE AZINDUA PROGRAMU YA UIMARISHAJI WA MIPAKA YA KIMATAIFA MKOANI...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi wakiangalia moja ya alama katika eneo la mpaka kati ya Tanzania na Burundi la Mugikomero wilayani Ngara mkoani Kagera kwa upande wa...
View Article4TH ANNIVERSARY OF VIJIMAMBO BLOG, PROMOTING TANZANIA TOURISM EXPO IN THE USA
Vijimambo Blog kwa ushirikiano wa pamoja na Ubalozi wa Jamhuri ya Muunagano wa Tanzania ikiwemo Jumuiya ya Watanzania DMV inawaletea miaka 4 ya Vijimambo ikiutangaza Utalii wa Tanzania na kukemea...
View ArticleTANI 7 ZA VIPODOZI FEKI ZATEKETEZWA MKOANI TANGA
Tani 7 za vipodozi vinavyodaiwa kuwa na viambata vyenye sumu vimeteketezwa kwa moto katika dampo la mwang'ombe lililopo jijini Tanga kufuatia wakaguzi wa idara ya afya kufanya msako mkali na wa...
View ArticleKAMA LEO UTANI UKO HIVI NA JE IKIFIKA 2015?
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleHAPPY BIRTHDAY SALMA JABU "NISHA"
Msanii wa filamu nchini Tanzania, Salma Jabu kwa jina la usanii anaitwa "Nisha" leo ametimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa. Mungu akulinde na akusimamie kwenye maisha yako.Pata habari motomoto kupitia...
View ArticleJESHI LA POLISI RUVUMA LINAWASHIKILIA ASKARI WAWILI KWA TUHUMA YA KUMJERUHI...
Kamanda wa polisi wa mkoa wa Ruvuma Mihayo Msekhela--------------------------------------------------Na Nathan Mtega,SongeaJESHI la polisi mkoani Ruvuma linawashikilia askari wake wawili kwa tuhuma za...
View ArticleMUHIMU KWA WAZAZI: YATAMBUE MAKOSA AMBAYO WAZAZI WA KITANZANIA HUYAFANYA...
Una habari kwamba Brooklyn Beckham (15), mtoto wa bilionea na mwanasoka wa zamani maarufu duniani David Beckam anafanya kazi mgahawani? Tena analipwa euro 2.6 kwa saa Yaani Sh 6000/= za kitanzania. Je...
View ArticleBREAKING NEWS: ALIYEKUWA MKURUGENZI WA TBS BWANA CHARLES IKEREGE AHUKUMIWA...
Na Mwene SaidAliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Nchini (TBS), Charles Ekelege amehukumiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwenda jela miaka mitatu na kuilipa serikali Dola 42,543 za...
View ArticleBIOLANDS YAKABIDHI MSAADA WA AMBULANCE NISSAN PATROL KWA HALMASHAURI YA...
Gari la Kubebea wagonjwa likiwa linaingia kwa ajili ya MakabidhianoMeza kuu Meneja Mkuu msaidizi wa Biolands(Kulia) akimkabidhi na kupongezana na Mkuu wa Wilaya ya Kyela Mh. Magreth Ester Malenga...
View ArticleUPDATES: TAZAMA HAPA MAKUNDI YA TIMU ZITAKAZOCHEZA UEFA CHAMPIONS LEAGUE
ENDELEA KUTIZAMA MAKUNDI HAYO KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMAGAZETI YA LEO IJUMAA AUGUST 29, 2014
ENDELEA KUSOAM MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleSKYLIGHT BAND WAZIDI KULITIKISA JIJI LA DAR NA VIUNGA VYAKE KWA BURUDANI...
Diva wa Skylight Band Mary Lukos Akiimba kwa uzuri kabisa Ndani ya kiota cha burudani Thai Village.Bendi yako machachari na inayopendwa zaidi ndani ya Jiji la Dar es salaam.Digna Mpera akiimba na...
View Article