Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Godzilla akiimba mbele ya mashabiki wae kwenye Club ya maisha jijini Dar es Salaam.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Cindy akifanya ya kwake kwenye stage
Wadananda wakifanya ya kwao
Ni raha tuu
Nuhu Mziwanda akiwaburudisha mashabiki wake
Nuhu Mziwanda akicheza na wacheza shoo wake
Khasim Mganga akitoa burudani ya nguvu kwenye tamasha la Diva lililofanyika kwenye club ya Maisha jijini Dar
Mmoja wa wadada waliopendeza akipewa zawadi yake kutoka kwenye Duka la Ndio Fashion
Akifurahia zawadi
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Chid Benz akitoa burudani ya nguvu
Shetta akiimba na Chid Benz kwenye shoo ya Diva iliyofanyika kwenye club ya Maisha jijini Dar
Shilole akifanya ya kwake