Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari kwenye kituo cha polisi cha Urafiki wakati akitangaza kukatatwa kwa watuhumiwa 17 wanaorudufu kazi za wasanii kinyume na utaratibu yaani kazi feki katika jiji la Dar es salaam na baadhi ya mikoa ambapo kazi feki za wasanii zilizokamatwa thamani yake ni shilingi milioni 12, Kulia ni ASP Denis Moyo mkuu wa upelelezi wa kituo hicho ambaye amesema amethibitisha kukamatwa kwa watuhumiwa 17 ambao wanasubiri kupelekwa mahakamani.(PICHA NKIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama na KAMASP Denis Moyo mkuu wa upelelezi wa kituo hicho wakionyesha CD feki zilizokamatwa jijini Dar es salaam.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akionyesha mashine ya Photocopy inayotumiwa kurudufu CD hizo.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama na ASP Denis Moyo mkuu wa upelelezi wa kituo hicho wakionyesha CD feki zilizokamatwa jijini Dar es salaam
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akifafanua zaidi kuhusu wizi huo wa kazi a wasanii unaofanywa na baadhi ya wafanyabiashara na kuwanyonya wasanii.
Kituo cha polisi cha Urafiki