WALIOIBA PESA ZA ABIRIA WA NDEGE YA MALAYSIA ILIYOPOTEA WAPATIKANA
Baada ya uchunguzi wa kina katika benki kuhusu wizi wa fedha kwenye akaunti nne za abiria wa ndege ya Malaysia iliyopotea, hatimaye wezi wa fedha hizo wamekamatwa na kufikishwa mahakamani.Afisa mmoja...
View ArticleUTAFITI: MWANAMKE HUONA BORA ABAKI SINGLE KULIKO KUWA NA MWANAUME MWENYE SIFA...
1.Unampiga sana na Kukasirika kwa vitu ambavyo havina msingi. Humpi muda wa kuwa na rafiki, simu yake ni ya kwako (yaani unayajua majina yote na sms zote!)2.Unamtumia dada/mama yako kumuonya,...
View ArticlePICHA: SHULE YA MSINGI MEDELI ILIYOKO MANISPAA YA MJI WA DODOMA MPAKA LEO...
Shule ya msingi Medeli imechakaa pamoja na kuwa mjini waheshimiwa wanaingia na kutoka, watoto wanakaa chini, matundu ya vyoo ni 6 kati ya wanafunzi 789 hivi kweli haya ndio maisha bora kwa kila...
View ArticleNI MANENO YA MASOUD NA SIO MIMI
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleWATOTO WAMPA SURPRISE NISHA KWENYE SIKU YA KUWAKUMBUKA MASTAA WALIOTANGULIA...
Msanii wa Bongo Movie, Nisha akiongea na vyombo vya habariWatoto kila walipomuona Nisha walikuwana furaha na kila mahara anapokwenda basi kama kuna watoto inakuwa shuguli hapo yaani hapatoshi hii...
View ArticlePICHA: LUIS FIGO ATUA BONGO USIKU HUU
Mtangazaji wa michezo wa E FM 93.7 Maulid Kitenge akiwa na Gwiji wa zamani wa Real Madrid Luis Figo alipowasili usiku huu jijini Dar es salaam na wachezaji wenzie nyota wa zamani wa timu hiyo ya...
View ArticleMAGAZETI YA LEO IJUMAA AUGUST 22, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleSKYLIGHT BAND NDIO HABARI YA MUJINI KWA SASA, KARIBU THAI VILLAGE TUSEBENEKE...
Kikosi kazi cha Skylight Band kikiwajibika jukwaani Ijumaa iliyopita kwenye show zake za kila siku ya Ijumaa ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.....Kutoka kushoto ni Joniko Flower, Aneth...
View ArticleKAMPUNI YA TANZANIA DISTILLERIES LTD (TDL) YAZINDUA KINYWAJI KIPYA CHA...
Mkurugenzi mtendaji wa TDL David Mgwasa akielezea na kutoa ufafanuzi wa Kinywaji kipya aina ya Fyfe's.Kampuni ya Tanzania distilleries ltd (tdl) Juzi Tarehe 20 mwezi wa 8 2014 imefanya uzinduzi wa...
View ArticleYALIYOJIRI MAISHA CLUB KWENYE SHOO YA TWANGA PEPETA
Haji Ramadhani(mwenye shati nyeusi), Luiza Mbutu (wa pili kutoka kulia), Kupaza (wa kwanza Kulia) wakiwa pamoja na waimbaji wenzao kwenye shoo iliyofanyika kwenye club ya Maisha jijini Dar Mwimbaji...
View ArticleCHRISTIAN BELLA KUTOA BURUDANI YA KUFA MTU KATIKA FAINALI YA TMT TAREHE 30...
Christian Bella Na Josephat Lukaza Msanii wa Muziki wa Dansi anayejulikana kama Christian Bella anayetamba na kibao chake cha Nani Kama Mama ni Mmoja wa Wasanii watakaotoa Burudani ya Kufa mtu katika...
View ArticleUHAMIAJI YATUHUMIWA KUTOA AJIRA KWA UPENDELEO.
Kamati ndogo iliyoundwa kuchunguza tuhuma za upendeleo katika utoaji nafasi za ajira 200 kwa watu waliyoomba nafasi hizo kupitia idara ya uhamiaji imebaini kuwa nafasi hizo zimetolewa kwa upendeleo...
View ArticleEPUKA MAKOSA HAYA UNAPOANDIKA CV YAKO (Curriculum vitae)
1.Epuka Kukosea herufi za maneno (spelling) kwenye CV yako, hili ni kosa kubwa na itaonyesha ni jinsi gani huna umakini wakati wa kufanya mambo ya muhimu.2.Usiongeze vitu usivyoweza kuvifanya kwani...
View ArticleTAARIFA: CLOUDS FM NA CLOUDS TV ZAPIGWA FAINI NA TCRA
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleBREAKING NEWS: IDARA YA UHAMIAJI YAMZUIA RAIA WA NETHERLANDS KUINGIA NCHINI...
Bw. Shirwan Naseh, rais wa Netherlands mwenye asili ya Iraq aliyezuliwa kuingia nchini na kupigwa pigwa PI na Idara ya UhamiajiPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAMOSI AUGUST 23, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleHAPPY BIRTHDAY MWANALIBENEKE MC BARAKA GALIATANO
Namshukuru mwenyezi mungu kunifikisha siku hii ya leo Jumamosi August 23 nikiwa naadhimisha siku ya kuzaliwa kwangu. Namshukuru Mungu kwa kunipa nguvu na ujasili wa kupambana na misukosuko ya hapa na...
View ArticleTAZAMA HAPA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMAMOSI
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleUTAFITI: UKIAMBIWA SENTENSI HIZI NA MWANADADA ANAKUDANGANYA
1.Ungejua wala sina haraka ya kuolewa!Hakuna mwanamke ambaye yuko tayari kuona umri unamkimbia, ameshahudhuria harusi za marafiki zake, pengine ameshaliona mpaka gauni litakalompendeza harusini halafu...
View ArticleJAJI MAKAME KUZIKWA LEO KIJIJINI KWAKE TONGWE MUHEZA, TANGA
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitoa wasifu wa marehemu Jaji Lewis Makame wakati wa ibada ya kuaga mwili wa marehemu katika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam. Mke wa Jaji Lewis Makame, Marry Makame...
View Article