Namshukuru mwenyezi mungu kunifikisha siku hii ya leo Jumamosi August 23 nikiwa naadhimisha siku ya kuzaliwa kwangu. Namshukuru Mungu kwa kunipa nguvu na ujasili wa kupambana na misukosuko ya hapa na pale hakika yeye ndiye muweza wa kila jambo mpaka mie kufika hapa nilipo.
Natoa shukrani kubwa kwa wadau,ndugu na marafiki pamoja na wanalibeneke wanao endelea kuniunga mkono.