MAULID KITENGE WA RADIO ONE AHAMIA RADIO EFM
Mtangazaji mahiri wa habari za michezo,Maulidi Baraka Kitenge akisaini Mkataba wa kazi na kituo cha radio kiitwacho EFM 93.7 kilichopo Kawe jijini Dar Es salaam.Kushoto ni Mkurugenzi wa vipindi wa...
View ArticlePICHA: BOMBA LA MAFUTA LA TAZAMA LAPASUKA GONGO LA MBOTO
Bomba la mafuta linalotumika kusafirisha mafuta kutoka Bandari ya Dar es Salaam Tanzania hadi Nchini Zambia lijulikanalo kama TAZAMA limetobolewa na mafundi waKampuni ya Raddy Fiber Solutution Ltd ya...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMANNE AUGUST 19, 2014
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleSERIKALI YA ZANZIBAR YATOA TARIFA JUU YA UGONJWA HATARI WA EBOLA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohammed Aboud Mohamed akizungumza na wanahabari Ofisini kwake Vuga kuhusu Ugonjwa wa Ebola na mikakati ambayo SMZ inaendelea kuichukuwa ili kukabiliana...
View ArticlePICHA: IFAHAMU SMARTPHONE YA KWANZA DUNIANI ‘IBM SIMON’ INAYOTIMIZA MIAKA 20
Naamini ni wengi wanaomiliki simu za kisasa ‘smartphones’ ambazo zinaendana na teknolojia ya sasa iliyozidi kurahisisha maisha ya mwanadamu kupitia simu hiyo ya kiganjani. Lakini yawezekana si wote...
View ArticleFILAMU YA AISHA BUI "MSHALE WA KIFO" IPO MBIONI KUTOKA NA SASA INATOKA TAREHE...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleCPWAA AELEZA SABABU ZA KUCHELEWA KUACHIA VIDEO YA CHEREKO CHEREKO
Rapper Ilunga Khalifa aka Cpwaa amedai kuwa video yake ya Chereko Chereko iliyoongozwa na Adam Juma bado inafanyiwa marekebisho.Cpwaa amesema video hiyo ikitoka watu wataona jinsi ilivyo tofauti na...
View ArticleTANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KUTOKA BODI YA MIKOPO, UBALOZI WA MAREKANI NA COCACOLA
TIZAMA NAFASI ZA KAZI KWA KUBOFYA HAPAPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleJWTZ LASHEREHEKEA MIAKA 50 KWA KUVISAIDIA VITUO VYA KULEA WATOTO YATIMA
Mkurugenzi wa Ustawi wa Jamii wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania Brigedia Jenerali Sarah Wambali akisoma risala ya kumkamribisha Mgeni rasmi katika hafla ya kusherekea miaka 50 ya Jeshi hilo leo jijini...
View ArticleCHADEMA YAKANUSHA HABARI ZA KUHUSIKA NA KIFO CHA MWANGOSI
Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa Chadema, John Mnyika, akizungumza na waandishi wa habari.Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimekana shutuma zilizoelekezewa kwao kuwa wanahusika na...
View ArticlePICHA: AJALI YATOKEA MKOANI TABORA BAADA YA MABASI YA SABENA NA A.M....
Hali ni tete sana eneo la Mkolye, takribani km 4 toka Mjini Sikonge baada ya basi la Sabena lililokuwa linatoka Mbeya kwenda Mwanza na basi la A.M. toka Tabora kwenda Katavi kugongana uso kwa uso....
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATANO AUGUST 20, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleUPDATES: BASI LA SKYLINE LINALOFANYA SAFARI ZAKE KATI YA MBEYA NA DODOMA...
Basi la Skyline likiwa limepinduka katika Mlima NyokaBasi la SkyLine linalofanya Safari zake katika ya Mbeya na Dodoma limepinduka katika eneo la Mlima Nyoka Majira ya Saa moja Kaso za Asubuhi leo....
View ArticleSIKILIZA NA UDOWNLOAD NYIMBO MPYA YA CHID BENZ FT. DIAMOND & A.Y - "MPAKA...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleNAWATAMBULISHA KWENU LIBENEKE JIPYA LA HABARI ZA KARIAKOO 'KARIAKOO DIGITAL'
Naomba kutambulisha kwenu tovuti mpya ya www.kariakootz.com inayofahamika kama Kariakoo Digital ambayo imejikita katika kukusanya orodha ya maduka ya wafanyabiashara wa Kariakoo pamoja na bidhaa...
View ArticleUTAFITI: HAYA NDIO MADHARA YA KUTOKUWA NA MPENZI MPAKA KUFIKIA MIAKA 25.
1.Kutokujijali katika uvaaji kutokujali vitu vyako kama simu yako, mara nyingi utakuwa unalaumiwa kwa kosa la kutokupokea simu kwani huna mtu atakaekufanya uwe “busy” na simu.2.Utajikuta unamarafiki...
View ArticleZIFAHAMU FILAMU MBILI ZINAZOSUBIRIWA KWA HAMU SOKONI NA MASHABIKI WAKISUBIRI...
Sasa kaa tayari kupata nakala zako za filamu ya "KIDUME" na "MSHALE WA KIFO" zinazotarajia kutoka mwishoni mwa mwezi huu.Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu...
View ArticleMAJINA: TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KUTOKA SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMAGAZETI YA LEO ALHAMIS AUGUST 21, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleRAIS KIKWETE AZINDUA RASMI UJENZI WA DARAJA LA MTO KILOMBERO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na viongozi mbalimbali wa Kitaifa akikata utepe...
View Article