Msanii wa Bongo Movie, Nisha akiongea na vyombo vya habari
Watoto kila walipomuona Nisha walikuwana furaha na kila mahara anapokwenda basi kama kuna watoto inakuwa shuguli hapo yaani hapatoshi hii imetokea pale siku ya kuwakumbuka mastar waliotangulia mbele ya haki watoto walishindwa kujizuia na kuanza kupiga makelele huku wakiimba nyimbo za kwenye filamu zake.
Nisha akifurahi na watoto waliokuwa kwenye viwanja vya Karimujee wakai wa kuwakumbuka mastaaa waliotangulia mbele ya haki.
Akiwa kwenye picha ya pamoja na watoto hao