JE TUMEJIPANGA KWA HILI?
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleAJALI: WATU WAWILI WAFARIKI PAPO HAPO BAADA YA KUGONGWA NA GARI ILIYOBEBA...
Watu wawili wamefariki dunia papo hapo baada ya gari aina ya Land Cruser ilikuwa imebeba maiti 10 zikitokea hosiptali ya taifa Muhimbili kwenda hospitali ya St Francis Ifakara kugonga wapanda pikipiki...
View ArticleWASHIRIKI 10 WA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) WAFANIKIWA KUINGIA...
Majaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) wakifuatilia Filamu fupi iliyochezwa na baadhi ya washiriki wa Shindano la Tanzania Movie talents (TMT) wakati ilipokua ikionyeshwa kwenye runinga...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAPILI AUGUST 17, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTAZAMA MATOKEO YA MECHI ZA UINGEREZA ZILIZOCHEZWA JANA JUMAMOSI
ENDELEA KUTIZAMA MATOKEO MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleWEREMA: SERIKALI HAITASIMAMISHA BUNGE LA KATIBA
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Frederick Werema akitoa ufafanuzi wa masuala Kisheria kwa waandishi wa habari kuhusu mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya wakati wa mkutano uliofanyika jijini Dar...
View ArticleTAZAMA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMAPILI AUGUST 17, 2014
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleIDARA YA UHAMIAJI MKOANI NJOMBE YAWAKAMATA WAHAMIAJI HARAMU 21 WAKIWA NDANI...
Naibu Kamishna uhamiaji mkoa wa Njombe Bi. Rose Mhagama akizungumza na vyombo vya habari ofisini kwake.Pasipoti Nne za Baadhi ya Wahamiaji Hao Waliokamatwa Mjini Makambako.ENDELEA KUSOMA HABARI HII...
View ArticleMKUU WA MKOA WA DODOMA AFUNGUA MKUTANO WA KITAIFA WA KANISA LA MORAVIAN
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akizungumza na viongozi wa kanisa Moravian Tanzania wakati akifungua Mkutano wa Kitaifa wa kanisa hilo uliofanyika mwishoni mwa wiki hii mjini Dodoma.Baadhi...
View ArticleHIKI KWELI NI KIZAZI CHA FACEBOOK
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleWASANII WA KIKE WATANO WA BONGO MOVIE AMBAO WAPO MAKINI KWENYE KAZI YA FILAMU...
SALMA JABU "NISHA"JENNYFER KYAKAWASTARA JUMABRANDINA CHAGURA "JOHARI"AISHA BUIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu...
View ArticleMSAADA WAKO UNAHITAJIKA KUOKOA MAISHA YA MTOTO HUYU
Paulina Nyoni (Mama wa mtoto Fatuma Msuya) akiwa amembeba mwanaye ambaye anahitaji msaada wa matimabu .Paulina nyoni mkazi wa kijiji cha Hanga wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma anaomba msaada kwa yeyote...
View ArticleMWANAFUNZI WA TANZANIA AIBUKA MSHINDI WA KWANZA TUZO YA ISHA SADC
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza mwanafunzi wa kidato cha nne Neema Steven Mtwanga (16) anayesoma katika shule ya sekondari Naboti Makambako,Njombe baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATATU AUGUST 18, 2014
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleDULLY SYKES AFUNGA KAZI KWENYE SHOO YAKE ILIYOFANYIKA MAISHA CLUB
MC wa shoo nzima ya Dully Sykes, Gilla "The Boss" akifanya ya kwake kwenye stage Madansa wakiwapagawisha mashabiki wao.ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI P the MC kifanya ya kwake...
View ArticleSERIKALI KUWASHIRIKISHA VIJANA KATIKA PROGRAMU ZA MAENDELEO
Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya watu duniani (UNFPA), Dkt Natalia Kanem akizungumza wakati wa maadhimisho hayo ya siku ya kimataifa ya vijana duniani kwenye viwanja...
View ArticleHAYA NDIO MAMBO YA KUZINGATIA KAMA UNATAKA KUANZISHA BIASHARA
Ukitaka kufanya biashara yoyote ile unatakiwa kufanya utafiti. Kutokufanya utafiti ni chanzo cha biashara nyingi kuharibika. Lazima ujiulize kwamba unataka kufanya biashara gani? Usiseme unataka...
View ArticlePICHA: KIBAKA ALIYETOROKA KITUO CHA POLISI TABATA, AKAMATWA
Mwizi aliyetoroka kituo cha akiwa chini ya ulinzi wa raia wenye hasira kali maeneo ya vingunguti msimbazi. Kibaka aliyetoroka kituo cha polisi Tabata hatimaye kukukamatwa majira ya saa tano asubuhi...
View ArticleSERIKALI YASHAURIWA KUTUNGA SERA YA KUDHIBITI POMBE
Banda la Mtandao wa mashirika yapatayo 30 ya kupambana na matumizi ya kupita kiasi ya pombe nchini (Tanzania Network Against Alcohol Abuse) kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya vijana...
View ArticleBREAKING NEWS: ALIYEKUWA MWENYEKITI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI NEC JAJI...
Marehemu Jaji Lewis Makame enzi za uhai wake.Taarifa iliyoifikia hivi punde, isema kuwa aliewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini, Jaji Mstaafu Lewis Makame (pichani) amefariki dunia mchana...
View Article