Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

UPDATES: BASI LA SKYLINE LINALOFANYA SAFARI ZAKE KATI YA MBEYA NA DODOMA LAPINDUKA MLIMA NYOKA

$
0
0
 Basi la Skyline likiwa limepinduka katika Mlima Nyoka
Basi la SkyLine linalofanya Safari zake katika ya Mbeya na Dodoma limepinduka katika eneo la Mlima Nyoka Majira ya Saa moja Kaso za Asubuhi leo. Taarifa za awali zinasema kuwa Hakuna Aliyepoteza maisha katika Ajali hiyo na baadhi ya abiria wachache ndo wamepata majeraha sehemu mbalimbali za miili. Picha zaidi zitakujia Hivi Punde
 Askari wa Usalama Barabarani akikagua basi la Skyline lililopinduka leo katika Mlima Nyoka na hakuna aliyeripotiwa Kupoteza maisha katika ajali hiyo.
Tunaendelea kuwajuza zaidi kadri mdau wetu ambae pia alikuwa katika ajali hiyo atakavyozidi kutupa Habari.Picha na Tumaini Daudi wa Lukaza Blog

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>