Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

UTAFITI: HAYA NDIO MADHARA YA KUTOKUWA NA MPENZI MPAKA KUFIKIA MIAKA 25.

$
0
0

1.Kutokujijali katika uvaaji kutokujali vitu vyako kama simu yako, mara nyingi utakuwa unalaumiwa kwa kosa la kutokupokea simu kwani huna mtu atakaekufanya uwe “busy” na simu.

2.Utajikuta unamarafiki wengi zaidi wa jinsia tofauti na kujikuta unaanza kupoteza “uanaume” au “Uanamke” wako.

3. Ulaji mbovu kutokana na kuzoea kula peke yako. Utafiti unaonyesha kuwa, watu wenye wapenzi hula kwa staha zaidi ili kuwafurahisha wapenzi wao kuliko watu wasio na wapenzi.

4.Msongo wa mawazo.Hii ni kutokana na kukosa mtu wa karibu unaeweza kumuambia siri yako ya ndani. Utajikuta unatumia muda wako mwingi kuwaza matatizo yako, na inapotokea uko na marafiki zako, utaogopa kuwashirikisha kwa kuhisi kwamba utachekwa.

5.Unakosa Kujiamini katika maisha ya kawaida.

ENDELEA KUSOMA MAKALA HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI


6.Ubinafsi na kufikiria nafsi yako tu siku zote

7.Itaathiri utendaji wako wa Kazi!  Kweli?  Ndio.. Usipokuwa na mpenzi mpaka umri huo, utajikuta unakaa masaa ya ziada kazini na wafanyakazi wenzako watakupa kazi zao kwani utaonekana huna majukumu mengi

8.Siku Ukipata mpenzi utajikuta huwezi kutawala suala la mapenzi, na litachukua muda wako mwingi.

9.Utajikuta unatawaliwa sana na mchezo wa kujichua (Punyeto)



10.Upweke hasa ukikuta marafiki zako wengi wana wapenzi na hii inaweza kukuathiri kisaikolojia.

MAKALA NA 10 MUHIMU

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>