Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

BREAKING NEWS: ALIYEKUWA MWENYEKITI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI NEC JAJI LEWIS MAKAME AFARIKI DUNIA LEO JIJINI DAR.

$
0
0
Marehemu Jaji Lewis Makame enzi za uhai wake.

Taarifa iliyoifikia hivi punde, isema kuwa aliewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini, Jaji Mstaafu Lewis Makame (pichani) amefariki dunia mchana huu katika hopitali ya Hospital ya AMI Trauma Center, Masaki jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa kwa matibabu ya maradhi yaliyokuwa yakimsumbua.

Habari kamili inakuijia hivi punde

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>