MC wa shoo nzima ya Dully Sykes, Gilla "The Boss" akifanya ya kwake kwenye stage
P the MC kifanya ya kwake kwenye Stage
Buibui akiimba kwenye jukwaa la Maisha Club iliyopo jijini Dar
Msanii Afromaniac hapa ni mwendo wa kutoa kitu na kuweka kitu
Mirror
Mo Racka naye hakukosa kwenye shoo ya Dully Sykes iliyofanyika kwenye club ya maisha
Shetta akiiingia kwa stage
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Shetta akiwapagawisha mashabiki wake kwenye shoo ya Dully Sykes kwenye club ya Maisha jijini Dar usiku wa kuamkia leo
Tunda Man akimwagiwa pombe wakati anasherekea siku yake ya kuzaliwa haya yote yametikea kwenye club ya Maisha ya jijini Dar.
Hyperman HK(wa kwanza Kushoto) akizungumza jambo kwenye shoo ya Dully Sykes
Dully Sykes akiwa amesomama kwenye stage baada ya kupanda kwa ajili ya kuwaburudisha mshbiki wake waliofika kwa ajili ya kushangweka
Dully Sykes akikata kiuno wakati anaimba moja ya nyimbo zake
Msanii wa muziki kipya, Dully Sykes akiwapagawisha mashabiki wake kwenye club ya Maish jijini Dar
Dully Sykes akumkumbatia Q Chillar baada ya kupanda kwenye stage
Burudani ikiendelea
Umati mkubwa wa watu uliofika kutizama shoo ya Dully Sykes kwenye club ya Maisha jijini Dar