Mwizi aliyetoroka kituo cha akiwa chini ya ulinzi wa raia wenye hasira kali maeneo ya vingunguti msimbazi. Kibaka aliyetoroka kituo cha polisi Tabata hatimaye kukukamatwa majira ya saa tano asubuhi maeneo ya msimbazi vingunguti na kurudishwa kituoni
Raia wakipanga kumchoma moto kibaka huyo.