Mwakilishi wa shirika lisilo la kiserikali (DIAC), Jenipher Chiute akitoa mada kuhusu vitendo vya ukatili na athari zake ambavyo wamekuwa wakifanyiwa wanawake na watoto kwenye mdahalo uliofanyika katika bwalo la polisi DODOMA, katika muendelezo wa siku 16 za kupinga vitendo hivyo zilizoratibiwa na AFNET.(Picha na John Banda)
Washiriki wa Mdahalo wa kupingavitendo vya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia kwa wanawake na watoto wakifuatilia kwa makini mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na wataaramu mjini Dodoma.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
wakifuatilia kwa kumakini