Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAREHEMU PENINA PHILIPO MSUYA APUMZISHWA KWA AMANI KATIKA NYUMBA YAKE YA...

 Mwinjilisti wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Usangi Mwanga akisoma misa ya Kumuombea Marehemu Penina Philipo Msuya aliyefariki mjini Dar Es Salaam Mnamo tarehe 1 Disemba 2013 kwa ugonjwa wa Moyo na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKALA YA MDAU WETU: RAI YA ALEX MUSHI KWA VIJANA WENZANGU

Nimesukumwa kuandika makala hii kwa sababu ya hali ya mwenendo wa kisiasa unaoendelea hapa nchini kwetu na zaidi nimesukumwa na mienendo ya vijana wenzangu katika hali hiyo.Vijana tumekuwa wachezaji wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PINDA ATANGAZA MSHAHARA WAKE

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amesema analipwa mshahara wa Sh milioni 6 kwa mwezi. Waziri Mkuu Pinda alitoa taarifa hiyo bungeni jana, alipokuwa akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Mkanyageni, Mohamed...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA HAPA MAISHA YA MANDELA KATIKA PICHA

Nelson Mandela alichaguliwa kuwa rais wa kwanza mwafrika mweusi wa Afrika Kusini,baada ya vita vya muda mrefu dhidi ya utawala wa kizungu. Alizaliwa mkoani Eastern Cape, lakini baadaye akatorokea mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMERA YETU LEO IKIWA BARABARA YA MANDELA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Ukiona hivi ujue  hapo kuna ajali ENDELEA KUTIZAMA PICHA HIZI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI SEIF ALI IDDI ATEMBELEA HOTELI YENYE CHUMBA NDANI YA BAHARI KATIKA...

Balozi Seif akiwa pembezoni mwa dirisha ndani ya  chumba cha chini ya Bahari akiangalia samaki na mazingira yake mara baada ya kuuzindua mradi huo hapo Manta Resort Hoteli Makangale.Balozi Seif...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NALO HILI NENO

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UCHUNGU WA ALOE VERA, FAIDA LUKUKI KIAFYA

Licha ya ladha yake chungu, mmea wa aloe vera ukilimwa kwenye rutuba sahihi, kutunzwa vizuri na kusindikwa kwa uangalifu huwa na faida nyingi kwani una vichocheo chekwa vinavyoua vimelea vya magonjwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IFAHAMU HIFADHI YA TAIFA YA ZIWA MANYARA

Ndege wakiwa katika Hifadhi ya Taifa ya Manyara Baadhi ya Nyani  wakiwa katika Hifadhi ya Taifa ya ManyaraENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINITembo wakiwa katika Hifadhi ya Taifa ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA HAPA MAKUNDI YA KOMBE LA DUNIA LITAKALOCHEZWA NCHINI BLAZIL MWAKA 2014

ENDELEA KUTIZAMA MAKUNDI ZAIDI KWAKUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI DECEMBER 07, 2013

ENDELEA KUSOMA MAGAZETI ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA PICHA ZA MUONEKANO WA NDANI NA NJE.WA MABASI YAENDAYO KASI DAR

Huu ndio mwnekano wa wa Mabasi ya mwendo kasi yatakayokuwa yanafanya kazi kutoka   Kimara  mapaka Kivukoni.  Picha kwa hisani ya Deo Mutta Mwanatanga ENDELEA KUTIZAMA PICHA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHE. JANUARY MAKAMBA AWASILI WASHINGTON, DC

Naibu Waziri wa mawasiliano, Sayansi na Teknologia, Mhe. January Makamba akiwa na mkewe Ramona Makamba wakipokewa na Afisa Ubalozi Mindi Kasiga(wapili toka kushoka) na mwenyekiti wa Vijimambo Baraka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI KWENYE MKUTANO WA CHADEMA KIBONDO, KIGOMA

 Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) kwa kushirikiana na wananchi, wakimdhibiti mmoja wa vijana waliofanya fujo katika mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADA YA ZIARA YA RUVUMA NA MBEYA, KINANA ACHAPA KAZI WANGINGOMBE NA NJOMBE

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana  watatu kushoto, akiungana na Vijana wa CCM kula kiapo cha uanachama, baada ya kuwakabidhi kadi za Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) vijana 40, katika mkutano...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA HAPA MECHI LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMAMOSI DESEMBER 07,...

ENDELEA KUTIZAMA MECHI ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

EMMANUEL JOHN ALAMBA NONDOZ YA USTAWI WA JAMII

Mdau Emmanuel John akiwa mwenye furaha tele mara baada ya kutunukiwa Shahada ya Ustawi wa Jamii (Degree of Social Work) katika chuo cha Taasisi ya Ustawi wa jamii, Kijitonyama kilichopo chini ya Wizara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZISHI YA MANDELA KUVUNJA REKODI

Afrika na dunia inatarajiwa kushuhudia kitu kipya katika maziko ya Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela (95) aliyefariki dunia juzi, baada ya kuugua kwa zaidi ya miezi sita.Serikali ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA HAPA MATUKIO MBALIMBALI YANAYOENDELEA DUNIANI KOTE BAADA YA KUFARIKI...

 Bendela ya Umoja wa Mataifa ikiwa nusu mlingoti makao makuu huko New York nchini Marekani  kwa ajili ya kuomboleza kifo cha rais wa zamani wa Afrika ya Kusini alyefariki Desember 05, 2013 Bendela  ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUVUZU FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA KWA WANAWAKE,TANZANIA YALALA KWA AFRIKA...

 Kikosi cha timu ya Afrika Kusini kiimba wimbo wa taifa.(Picha na Francis Dande) Kikosi cha Tanzanite kikiimba wimbo wa taifa.ENDELEA KUTIZAMA TUKIO  HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI Wachezaji wa timu ya...

View Article
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>