Wachezaji wa timu ya Wabunge mashabiki wa Yanga na Sima wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wao katika Tamasha la Matumaini uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Kikosi cha timu ya Wabunge mashabiki wa Yanga kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wao na Wabunge mashabiki wa Simba.
Beki wa timu ya Wabunge wa Simba, William Ngeleja akichuana na mshambuliaji wa Wabunge wa Yanga, Mwigulu Nchemba.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Mshambuliaji wa timu ya Wabunge mashabiki wa Yanga, Ridhiwan Kikwete (kushoto), akimtoka beki wa timu ya Wabunge mashabiki wa Simba, Adam Malima katika mchezo wa Tamasha la Matumaini uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa timu ya Wabunge mashabiki wa Yanga, Ridhiwan Kikwete (kushoto), akimtoka beki wa timu ya Wabunge mashabiki wa Simba, Adam Malima katika mchezo wa Matumaini uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mfungaji wa bao la kwanza la Yanga akishangilia.
Yanga wakishangilia bao lao.
Mtanange ukiendelea.
Mashabiki wakifuatilia mchezo huo.
Mfungaji wa bao la kwanza la Yanga akishangilia.
Yanga wakishangilia bao lao.
Mtanange ukiendelea.
Mashabiki wakifuatilia mchezo huo.