Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

BALOZI LIBERATA MULAMULA APIGA KURA YAKE DMV

$
0
0
 Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiwasili kwenye kituo cha kupigia kura katika uchaguzi wa DMV unaoendelea sasa hivi Wheaton, Maryland nchini Ma.rekani hapa mhe. Liberata Mulamula akilakiwa na mgombea makamu wa Urais Bi. Salma Moshi na Bwn. Idd Sandaly, Rais wa Jumuiya ya Wtanzania anyaemariza muda wake na ambaye pia anagombea tena nafasi hiyo katika uchaguzi huo.
Mhe. Libarata Mulamula akisalimiana na kampeni meneja wa mgombea wa Urais Liberatus Mwang'ombe Bi. Muna.

ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI

 Mgeombea wa Urais Liberatus Mwang'ombe akimsindikia Mhe. Balozi kuahakiki jina lake.
Mhe. Balozi Liberata Mulamula akihakiki jina lake.

Mhe. Balozi Liberata Mulamula akisalimiana na mmoja wa kamati ya uchaguzi Bwn. Sunday Shomari.

Mhe. Balozi akipiga kura yake.

 Mhe. Balozi akitumbukiza kuara yake.
Balozi akiwahutubia wanaDMV Hebu msikilize hapo chini.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles