Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16414

MAMA WA WATOTO NJITI MAPACHA ASHUKURU WALIOMSAIDIA

$
0
0
Fatuma akiwa na watoto wake  baada ya kupatiwa fedha na kununua mahitaji ya watoto.
KUFUATIA mtandao wetu  kuandika  habari  iliyokuwa inasema  “Watoto njiti mapacha watelekezwa na baba yao’’, hatimaye Wasamaria wema wajitokeza kumsaidia mama wa watoto hao, Fatuma, ambaye amezaa mapacha Rahma na Rahmu.
Watoto wakiwa wamelala pembeni  ya makopo ya maziwa yaliyotokana na msaada huo.
Akizungumza na mwandishi wetu leo alisema: ‘’Naishukuru sana  kwa kuyatangaza matatizo yangu pia  namshukuru sana dada Mary Chibwana kwa kujitolea kunipatia fedha kwa ajili ya mahitaji ya watoto.  Vilevile nawashukuru wote walionisaidia kwa fedha, salamu na hata ushauri.”
Makopo ya maziwa ya watoto yaliyonunuliwa.


PICHA NA GPL

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16414

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>