Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

WANASAYANSI: KUVUTA HARUFU YA ‘HEWA CHAFU YA BINADAMU’ (FART) INAWEZA KUSAIDIA KUZUIA KANSA NA MAGONJWA YA MOYO

$
0
0

Utafiti uliofanywa na wanasayansi wa chuo cha Exeter umeonesha kuwa, kuvuta ‘harufu ya hewa chafu ya binadamu’ (fart) inaweza kusaidia kuzuia kansa na magonjwa ya moyo.

Katika taarifa ya utafiti huo, Dr. Mark Wood amesema:
“Although hydrogen sulfide gas” – produced when bacteria breaks down food – “is well known as a pungent, foul-smelling gas in rotten eggs and flatulence, it is naturally produced in the body and could in fact be a healthcare hero with significant implications for future therapies for a variety of diseases.”
Mwanasayansi mwingine, Professor Matt Whiteman naye amesema:
“We have exploited this natural process by making a compound, called AP39, which slowly delivers very small amounts of this gas specifically to the mitochondria.”
Wanasayansi hao wameyataja magonjwa mengine ambayo harufu hiyo inaweza kupunguza hatari ni pamoja na kiharusi, magonjwa ya moyo, arthritis, na dementia.
Source: Time

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>