MTOTO AFUNGWA KAMBA ILI ASITOKE NYUMBANI KWAO
Mtoto Samir mkazi wa mtaa wa Langoni kata ya Miembeni,akiwa amefungwa kamba katika mguu wake wa kushoto huku upande mwingine ukiwa umefungwa katika chuma kizito kilichopo jirani na mlango. Na Dixon...
View ArticleFEDHA NI CHANZO CHA KUVUNJIKA KWA URAFIKI WA WEMA NA KAJALA
Wema akiwa na Kajala baada ya kumlipia faini yake ya shilingi milioni 13 na kumfanya aachiwe huruMwaka mmoja uliopita, Wema Sepetu aligeuka kuwa shujaa wa maisha ya Kajala Masanja baada ya kujitolea...
View ArticleYALIYOJIRI KWENYE BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA LEO
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akiwasili kwenye ukumbi wa Bunge kwa ajili ya kuongoza mjadala wa sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba mpya leo mjini Dodoma kabla ya Bunge hilo...
View ArticleUCHAFU WATUPWA KATIKATI YA BARABARA INAYOELEKEA STENDI YA MWENGE JIJINI DAR...
Uchafu huu umetupwa na mtu ambaye hakufahamika kirahisi kwenye barabara inayotokea daladala za kituo cha Mwenge jijini Dar es Salaam. Cha kusikitisha uchafu huu umetupwa karibu sana na kituo cha...
View ArticleHII NI MOJA YA SIFA KUBWA YA JIJI LA DAR ES SALAAM
Picha hizi zimepigwa kwenye barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es salaam ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPICHA NA PAMOJA BLOGPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike...
View ArticleBAADA YA SHOW YA PASAKA MWANZA, SKYLIGHT BAND WAREJEA NYUMBANI KUENDELEZA...
Aneth Kushaba AK 47 akiongoza waimbaji wenzake kutoa burudani kwa wapenzi wa Skylight Band Ijumaa ya mwisho kabla ya kuelekea jijini Mwanza kwenye ukumbi wa Thai Village Masaki jijini Dar Digna Mbepera...
View ArticleKUMBUKUMBU YA MAREHEMU JOACHIM BWANAMPINI LEBABU KIRAMBATA
KUZALIWA 02/02/1945 KUFA 04/05/2013TAREHE 04/05/2014 UMETIMIA MWAKA MMOJA KAMILI TANGUMWENYEZI MUNGU AKUITE.ILIKUWA SIKU YA MAJONZI MAKUU KATIKA FAMILIA YETU.KIFO KILITOKEA KATIKA HOSPITALI YA...
View ArticleHII HAPA TOP 20 YA 'MAMA SHUJAA WA CHAKULA' WATAKAOINGIA KIJIJI CHA MAISHA...
Shindano la Mama Shujaa wa Chakula linaloendeshwa na kusimamiwa na Oxfam limefikia tamati ya hatua ya awali ya kutafuta washindi kwa kutangaza wanawake 20 kuingia katika top 20 ya shindano hilo la aina...
View ArticleFAMILIA KITCHEN PARTY GALA SASA KUFANYIKA JUMAPILI HII JIJINI DAR
Jumapili huwa ni siku muhimu sana kwa familia. Ni siku ambayo mama/dada anapata nafasi ya kukaa ama kutembelea ndugu jamaa na marafiki. Kwa kufahamu umuhimu wa kuwa na familia yenye furaha na upendo,...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA KAZI DK MAKONGORO MAHANGA AFUNGUA KONGAMANO LA AFYA NA...
Zoezi la uandikishaji na uhakiki wa majina ya washiriki wa kongamano ukiendelea Mgeni rasmi Naibu Waziri wa kazi Mhe Dk Makongoro Mahanga akiingia ukumbini ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAMOSI APRIL 26, 2014
Tunakuomba ulike ukurasa wetu wa facebook ili uingie kwenye familia ya Pamoja Blog ili upate habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa na hata vichwa vya magazeti ya kila siku ya Tanzania unaweza...
View ArticleNI MIAKA 50 SASA YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR
Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akichanganya udongo wa Tanganyika na Zanzibar kama ishara rasmi ya kuunganisha nchi hizo mbili miaka 50 iliyopita. Pamoja Blog inaungana na Watanzania...
View ArticleKUTOKA UGHAIBUNI: SALAM ZA HERI YA MIAKA 50 YA MUUNGANO KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
Bend maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya "NGOMA AFRICA BAND" aka FFU Ughaibuni,yenye makao yake kule nchini Ujerumani,inaungana na watanzania wote nyumbani na ughaibuni katika kusherehekea "MIAKA...
View ArticleRAIS KIKWETE ATUNUKU NISHANI NA TUZO ZA MIAKA 50 YA MUUNGANO
Mama Maria Nyerere akipokea nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano(Order) kwa niaba ya Marehemu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa kuamkia leo...
View ArticleMARK CHILDRESS BALOZI MPYA WA MAREKANI NCHINI TANZANIA. ATEMBELEA UBALOZI WA...
Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Mark Childress akikaribishwa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Afisa Ubalozi Suleiman Saleh siku ya Alhamisi April 24, 2014 alipotembelea Ubalozi huo...
View ArticleKWA WANANDOA WANAUME: JINSI YA KUKARABATI PENDO LILILOCHAKAA
Inawezekana hili lisiwe geni, lakini si vibaya kukumbushana.Fanya yafuatayo kurudisha upendo uliopotea kwa mkeo: 1.Jaribu kuwahi kurudi nyumbani kama ulikuwa una kawaida ya kuchelewa 2.Jitahidi kuja na...
View ArticleMMOJA AUAWA KWA KUPIGWA NA WANANCHI KWA TUHUMA ZA WIZI
Askari wa Jeshi la Polisi Kituo Kikubwa Tabora mjini wakiwa wamebeba mwili wa mtu mmoja aliyeuawa kwa kupigwa na wananchi kwa tuhuma za wizi huku mwenzake akiponea chupuchupu. Emmanuel Samwel baada ya...
View ArticleTAZAMA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMAMOSI
ENDELEA KUTIZAMA MECHI ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleSHEREHE ZA MIAKA 50 YA MUUNGANO ZAFANA JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono wananchi waliohudhuria sherehe za miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika kwenye uwanja wa Uhuru...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAPILI APRIL 27, 2014
Tunakuomba ulike ukurasa wetu wa facebook ili uingie kwenye familia ya Pamoja Blog ili upate habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa na hata vichwa vya magazeti ya kila siku ya Tanzania unaweza...
View Article