Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akichanganya udongo wa Tanganyika na Zanzibar kama ishara rasmi ya kuunganisha nchi hizo mbili miaka 50 iliyopita. Pamoja Blog inaungana na Watanzania duniani kote kusherehekea siku hii adhimu kwa kuwatakia hongera kwa Muungano kutimiza miaka 50.