Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

FAMILIA KITCHEN PARTY GALA SASA KUFANYIKA JUMAPILI HII JIJINI DAR

$
0
0
Jumapili  huwa ni siku muhimu sana kwa familia. Ni siku ambayo mama/dada anapata nafasi ya kukaa ama kutembelea ndugu jamaa na marafiki. Kwa kufahamu umuhimu wa kuwa na familia yenye furaha na upendo, PSI Tanzania kupitia brand yao ya Familia wanakuletea Familia Kitchen Party Gala tour,Dar es Salaam. Nafasi ya mwanamke wa Dar es Salaam kupata mafunzo na kujinoa kuhusu mambo yanayomuhusu yeye,afya, saikolojia, kupanga muda, na mengine meeengi.
Hii ni nafasi ya kina mama kupima Kansa ya mlango wa uzazi, kupata mafunzo ya uzazi wa mpango na kufunzwa na Mama Victor, Aunt Sadaka na Kaka Chris... huku kukiwa na burdani murua ya Malkia Khadija Kopa, Kuserebuka na Mwasiti...na hata kuSugua gaga na Shaa!

Nunua Tiketi yako sasa kupitia vituo hivi;
1.Trudy's Intimate Apparel - Mwenge near Tamal Hotel
2.Shear Illusions - Mlimani City, Millenium Towers
3.Jackz Cosmetics - Kinondoni Muslem near Barclays
4.S.H Amon - Posta, Kariakoo
5.Cassandra Lingerie - Sinza Makaburini, Mikocheni kwa Nyerere, Golden Jubilee
6.Lampard Cosmetics - Tandika
7.Amina Designs - Kariakoo


Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>