Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

YALIYOJIRI LEO KWENYE BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA

$
0
0
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka katika kikao cha Bunge Maalum la Katiba Mjini Dodoma, Aprili 15, 2014. 
Wajumbe wa Bunge la Katiba Mhe. Ester Bulaya kushoto akijadiliana jambo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Anna Makinda.

 ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI

 
Wajumbe wa Bunge la Katiba, Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe.Mathias Chikawe akibadilishana mawazo na Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Mhe. Mhe Angellah Kairuki.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt, Seif Rashid (kushoto) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa Zamani, Andrew Chenge (katikati) wakiteta kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 15, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na watoto wa Waziri Mkuu wa Zamani, Hayati Rashidi Mfaume Kawawa, Vita (katikati) na Zamaradi (kulia) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 15, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Wajumbe wa Bunge la Katiba wakiwa wamehamishia mjadala nje wakati Bunge maalum likiendelea ndani.kutoka kulia ni Mhe.Haji K.Kai,Haroub Shamis, Khatibu S.HAJI, S.Khamis Faki na Abdallah J.Hassan.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi Katika Idara ya Nishati na Mabadiliko ya Tabia Nchi wa Uingereza, Mhe. Gregory Baker (Minister of State at the Department of Energy and Climate Change), Ofisini kwake, Bungeni Mjini Dodoma Aprili 14, 2014.
Naibu Katibu wa Bunge Maalium la Katiba, Dkt. Thomas Kashilila kushoto akijadiliana jambo na Mbunge wa Mpanda Mjini ambaye pia ni Mbunge wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Said Arfi.
Mhe.Stephen Wasira kulia ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Kamati namba sita akiwa na msemaji wa walio wachache katika kamati yake Mhe Ismail Jussa (wapili kulia) wakijadiliana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Mhe. Bernard Membe na Naibu Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia Mhe. January Makamba.Picha na Deusdedit Moshi

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>