
Gari aina ya Landrover maalumu kwa ajili ya kutoa misaada ya magari yaliyopata hitilafu barabarani likijaribu kutoa msaada.
Hii ni ajali iliyotokea eneo la makongo ambapo gari ndogo imeangukiwa na gari la mchanga asubuhi. Juhudi za uokoaji za askari we jeshi la wananchi wakisaidiana na kikosi cha zimamoto na uokoaji walifanikiwa kumtoa dereva wa gari dogo mida ya saa 1:20 za asubuhi baada ya kukaa humo tangu saa 11 asubuhi.

Gari ambalo limeangukiwa na kufukiwa na mchanga uliokuwemo kwenye gari lililopata ajali. Dereva wa gari dogo bado yumo ndani.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI

Gari ambalo limeangukiwa na kufukiwa na mchanga uliokuwemo kwenye gari lililopata ajali. Dereva wa gari dogo bado yumo ndani.

Askari wa jeshi la wananchi wakijitahidi kutoa msaada wa kumnasua dereva aliyefukiwa ndani ya gari

Gari ambalo limeangukiwa na kufukiwa na mchanga uliokuwemo kwenye gari lililopata ajali. Dereva wa gari dogo bado akiwa yumo ndani.

Gari la mchanga lililopata ajali likionekana kwa mbali

Baadhi ya mashuhuda na askari wakishuhudia tukio hilo


Gari la kikosi cha zima moto na uokoaji likiondoka na dereva wa gari dogo baada ya kufanikiwa kumuokoa

Gari la kikosi cha zima moto na uokoaji likiondoka na dereva wa gari dogo baada ya kufanikiwa kumuokoa

Gari la wagonjwa nalo lilikuja kwa ajili ya kutoa msaada

Gari lililopinduka na kulalia gari dogo

Gari lililopinduka na kulalia gari dogo

Gari lililolaliwa likionekana sehemu iliyobaki

Gari lililolaliwa likionekana sehemu iliyobaki.Habari na Jamvi la habari blog